Labda aina ya utajiri, maana kuna utajiri wa Roho na mwili, na utajiri wa mwili huo upo wa kiuchumi, kijamaa na kielimu nk
Sent from my itel it1702 using JamiiForums mobile app
Watu wa ccm mnanifurahisha saana mkiona mtu amehamia kwenu mnafurahiii, wakiondoka mnapaniki saana cjui nan aliyewaroga,
Bora uwe kama mimi mfuasi wa hashim rungwe spunda
Jamani wolper km atakubali kuwa na watu wa chini ndio angenipata mm rijali , but I'm so sad to see this to my beloved , cutest a girl of my dream Jacklin wolper , GOD BLESS U
Sent from my itel it1702 using JamiiForums mobile app
Kwaiyo wanategemea kulipwa fidia za kilichopotea wakat Kuna ulinzi wa mikataba ambayo bado inawapa sapot kubwa hawa neo colonialists kuendelea kutuibia?
Usimkimbize mwizi aliyepotelea kwenye Giza au msitun
Sent from my itel it1702 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.