Recent content by FELIK PETRO

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mazingaombwe Tuamini au Tusiamini?

    Huo ni uchawi moja kwa moja; hakuna sayansi yoyote hapo!
  2. F

    JamiiForums Tanzania Krismass ilifana sana mkoani Mara.

    Huko Mara Waliokoka watu wangapi hata krismas ikafana? jibu!
  3. F

    JamiiForums Tanzania Huyo ndio Cindy sio Miss Gezaulole uvundo mtupu.

    sijaona picha
  4. F

    JamiiForums Tanzania Eeeh! Hawa wana wadudu kichwani eeeh?

    Sikuelewa chochote hapa.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Hii kali tuchukuwe mfano huu

    katuni?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Homa imenizidia mie!

    ugua pole dada yangu.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mobile saga

    Yesu Ni Mungu. Huyo Issa hana cheo.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanaume tu: Tunapoamua Kujenga Nyumba Ndogo

    Nyumba ndogo ni haramu kabisa; tena ni aibu kwa mtu kusema ana nyumba ndogo. Nyumba ndogo ni uhuni. Ridhika na mke wa kwanza tu.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nimie tu au ni macho yangu?

    Sijaelewa kinachoulizwa hapo. ebu jiweke wazi zaidi.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Jamani hamjambo? Leo napenda tu kuwasalimia.

    Hata usipoitikia salaam,hakuna neno. Dawa ya babu wa Loliondo inatibu kwa uhakika? Wewe uliyeinywa unashaurije?
  11. F

    JamiiForums Tanzania Jamani hamjambo? Leo napenda tu kuwasalimia.

    Salaamu ni kitu kizuri, tutakutana katika mijadala. Ahsante.
Back
Top Bottom