Nimie tu au ni macho yangu?

Nimie tu au ni macho yangu?

Spear

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2008
Posts
507
Reaction score
32
photo+6.jpg
 
Umeshahama tayari, au wewe ndo jinsia moja nini.???????????????
 
eti tunaambiwa wanasoma gazeti. mi naona wangepewa gazeti moja kwani wa kushoto anasoma la mwenzake. Matangazo mengine bwana
 
Ukipenda kusoma ni jambo jema,ukipenda kuwaangalia pia ina nafasi yake yote heri ,ila la kwanza faida
 
Ni macho yako tu yaliyoona simu katikati ya miguu ya huyo wa kushoto
 
ndo nyie mnaopendelea vyoo visiezekwe...muwe mnachungulia....usione kichaka...uh***lo ushakubana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom