Ndugu nimeshawahi ila dairly ilikuwa maneno mara uko bze na marafiki zako kuliko mimi mara haunisikilizi coz me ndo nilokutongoza yan ilikuwa 5% furaha,95%ilikuwa karaha....
Vile vile haudumu kutokana na kwamba mwanamke anakuwa hajiamin kuwa ni kwel anapendwa kwa dhati kwa sababu yeye ndo alotangaza nia,,..kwakweli mi inenitokea hiyo kitu yan naielewa vizur saaaaaaaana.....!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.