Mara nyingi huwa haudumu kama ule unaoanzishwa na mwanamume, na hi inatokana na dhana za wanaume wengi amambao huamini mwanamke anapomfuata na kumtongoza basi hajatulia au ana kasoro fulani, kwahyo hata akimkubalia anajua atakuwa wa muda mfupi tu.
-Utafiti huu uliofanyika huko nchini Afrika Kusini chini ya taasisi mmoja ambayo inahusika na maswala ya uhusiano na usuluhishi.Ulisema Nanukuu..
--"Ukitaka kujua ukweli wa swala hili angalia idadi ya wanaume na wanawake wanaoomba uchumba na urafiki wa kimapenzi kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii, kiukweli wengi wao ni wanume na hii inatokana na dhana hiyo hiyo iliyojengeka miongoni mwa watu katika jamii..
-Nukuu iliendelea kusema..hii husababisha wanawake wengi kutokuwa na chaguo sahihi la mtu wa kuwa nae maishani. Na wale ambao hufanikiwa katika hili ni wale wachache ambao hutumi mbinu zao maalumu za kuwatega wanaume ili waweze kuwatongoza" Mwisho wa nukuu..
SOURCE:Sun set magazine.