Recent content by fedia patrick

  1. fedia patrick

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Hilo lolote wafanye mara ngapi?tayari wameshafanya.
  2. fedia patrick

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    JKT HUA HAKUNA INTAKE..KUNA OPARESHENI,ACHA KUPEPESA USICHOJUA.
  3. fedia patrick

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    50000,kwa mwezi sio kama wabunge kuna makato so ndani ya mwezi mzima unaweza pokea 35000 tuuu
  4. fedia patrick

    Kujiunga na JKT kwa kidato cha 6 awamu ya pili (mujibu wa sheria)

    mwaka wa neema huu,hadi pitishot unajishonea,vest pia unanunua?,neti,shuka?bado useme serikali inahela?unakua akili zako zimechananyana na kinyesi.
  5. fedia patrick

    Nafasi za JKT kwa waliomaliza Form 6 mwaka 2016

    Vijana wa Kujitolea Kundi hili linahusisha Vijana wote waliosailiwa mwezi Mei na Juni mwaka 2016 katika ngazi za wilaya na mkoa na kuchaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT. Vijana hao wa Mujibu wa Sheria na Kujitolea wanatakiwa kuripoti katika makambi ya JKT waliyopangiwa wakiwa na vifaa...
  6. fedia patrick

    Serikali yawataka walioshindwa kujiunga Elimu ya Juu kuripoti JKT

    sio sahi sio sahihi,wanaohitajika ni wale ambao hawajafanya mafunzo ya kwa mujibu ili wakafanye kwa miez 3.umeshawahi ona jando unaenda mara mbili?
  7. fedia patrick

    Serikali yawataka walioshindwa kujiunga Elimu ya Juu kuripoti JKT

    kaangalie madhumuni ya JKT,sio kila kitu mna complain.
  8. fedia patrick

    Serikali yawataka walioshindwa kujiunga Elimu ya Juu kuripoti JKT

    unapotosha umma ndugu hapo juu,hilo tangazo liko wazi tuu mbona...kwa ambao wamemaliza form six ni wale tuu ambao hawakufanya mafunzo awali na pia hawajaenda vyuoni(bila kujua sababu zilizomfanya asiende chuo,) na wanaenda kufanya mafunzo kwa mujibu wa sheria(mkataba wa miez 3) rejea kumbukumbu...
  9. fedia patrick

    Serikali yawataka walioshindwa kujiunga Elimu ya Juu kuripoti JKT

    Hilo Tangazo linachanganya kwa kiasi fulani hivi,labda pengine tusubirie website ya J.K.T itakapotoa huo muongozo maana haitaji kua hao form 6 ni wale ambao hawakufanya mafunzo au ni wale waliofanya mafunzo awali na huko J.K.T wanaenda kujitolea au kwa mujibu,nawasilisasha.
  10. fedia patrick

    Wale wa JKT mambo tayari, vipi Zimamoto?

    chuo gani hicho mkuu?
  11. fedia patrick

    Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Hili la Lameck siyo jina la kinyiramba ni jina la daktari aliyenipokea zahanati ya Iliyopo kijiji cha Mukulu, daktari tunaita hivyo lakini ni Nesi ndiye aliyekuwa anaitwa Mwigulu na jina la kizungu Lameck Daah,inamaana huyu daktari alikua anaitwa lameck ila kwa kilugha mwigulu?yaani mwigulu na...
  12. fedia patrick

    Ikiwa tuhuma hizi ni za kweli, basi Waziri Ndalichako anapaswa kujiuzulu haraka iwezekanavyo

    Jamani wa ndugu ni hivi, kwa jinsi ya vigezo walivyotoa mwaka huu kwanza lazima uwe umefaulu, unaenda kusoma kozi gani, ulichukua masomo gani o level na advanced level wao wanataka science subject na pia unaenda kusoma kozi gani chuo. Wameonyesha kozi ambazo watanufaika almost ni (science),na...
Back
Top Bottom