Nafasi za JKT kwa waliomaliza Form 6 mwaka 2016

Walyobahamza

Member
Oct 23, 2016
35
20
Wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa linawatangazia vijana wote waliohitimu kidato cha sita June 2016 na ambao hawajajiunga na elimu ya juu,,kujiunga na MAFUNZO ya Jkt.
 
180681_158735330845567_2210285_n.jpg

TAARIFA KWA UMMA

  1. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linawatangazia vijana wa Kitanzania wito wa kujiunga na mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria Operesheni Magufuli awamu ya pili na Vijana wa Kujitolea.

  1. Vijana wanaotakiwa kujiunga na mafunzo hayo ni kama ifuatavyo:
  2. Vijana wa Mujibu wa Sheria Operesheni Magufuli Awamu ya Pili.
Kundi hili linahusisha wanafunzi wote waliomaliza kidato cha sita mwezi Mei mwaka 2016, ambao hawakuchaguliwa kwenye mafunzo ya JKT Mujibu wa Sheria Operesheni Magufuli awamu ya kwanza na hawakupata nafasi ya kujiunga vyuo vya elimu ya juu.

Aidha, orodha kamili ya majina na makambi waliyopangiwa inapatikana kwenye tovuti ya Jeshi la Kujenga Taifa, ambayo ni www.jkt.go.tz.

  1. Vijana wa Kujitolea
Kundi hili linahusisha Vijana wote waliosailiwa mwezi Mei na Juni mwaka 2016 katika ngazi za wilaya na mkoa na kuchaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT.

  1. Vijana hao wa Mujibu wa Sheria na Kujitolea wanatakiwa kuripoti katika makambi ya JKT waliyopangiwa wakiwa na vifaa vifuatavyo:
  2. Bukta ya rangi ya bluu iliyokoza (Dark blue) yenye mpira kiunoni (lastic), iliyo na mfuko mmoja nyuma isiyo na zipu, iwe na urefu unaoishia magotini.

  1. Raba ngumu za michezo zenye rangi ya kijani au nyeusi.

  1. Shuka jozi mbili za kulalia zenye rangi ya bluu bahari ukubwa wa 4x6.
  2. Soksi za michezo jozi mbili rangi nyeusi.

  1. Chandarua moja ya duara rangi ya bluu au kijani ukubwa wa 4x6.

  1. Nguo za michezo (truck suit) jozi moja rangi ya kijani au bluu.

  1. Fulana (T-shirt) ya kijani isiyokuwa na maandishi yoyote.

  1. Mavazi hayo yasiwe ya kubana mwili.

  1. Inasisitizwa kuwa vijana wa kujitolea wanaotakiwa kuripoti makambini ni wale tu waliopita katika usaili kwenye ngazi za wilaya na mikoa na kuchaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT.

  1. Vijana hao wa Mujibu wa Sheria na Kujitolea wanatakiwa kuripoti kwenye makambi ya JKT waliyopangiwa kuanzia tarehe 01 mpaka 05 Desemba 2016 kwa kujitegemea nauli ya kwenda na kurudi.
 
Wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa linawatangazia vijana wote waliohitimu kidato cha sita June 2016 na ambao hawajajiunga na elimu ya juu,,kujiunga na MAFUNZO ya Jkt.
Tafadhari wadau kwa anaejua mahitaji muhimu yanayotakiwa kwenda nayo huko jkt pia tarehe rasmi ya kuripoti naomba kujuzwa maana Nina uhitaji mkubwa sana.Asante sana.
 
Asante
 
Back
Top Bottom