Recent content by fecyfabby

  1. fecyfabby

    Dani Alves ajitetea kuhusu Cavani.

    Cavani na yeye mbinafsi kila mpira apige yeye penalt yeye faulo yeye
  2. fecyfabby

    Naomba ushauri

    mlete na ya yy atoe ushahidi wake wako tumeusikiliza
  3. fecyfabby

    Kwa nini wanawake wazuri sana kwa umbo wengi wao hawaolewi??

    wengi wao wakisha jiona ni wazuri wanaringa sana na wegi wao wapenda money na hawana pendo la kweli na at kama akiolewa lazima ndoa yake iwe na matatizo chungu nzima na jaribu kuchunguza wanawake wengi wanau uza miili yao wengi wao ni wazuri na hawana kasolo yoyote lakini hawaolewi
  4. fecyfabby

    Samahani wakaka mtakaoudhika na hisia hizi

    ushauri mzuri na sms nzuri kutoka kwa pearl mie naona merytina uitumie kabla god knwos labda una katizo kana kusumbua lbda masai wako hana lakin babilika pnguza matamanio ma friend leo mzungu kesho mchina kesho kutwa mwarabu acha
  5. fecyfabby

    Samahani wakaka mtakaoudhika na hisia hizi

    mery hivi kweli nyumbani wana taharifa waeleze wazazi wakupe baraka na masai akigundua utawezakumshusha mori haya/
  6. fecyfabby

    Samahani wakaka mtakaoudhika na hisia hizi

    acha matamanio ya hivyo kwa kuwa unata kuzidi mipaka
  7. fecyfabby

    Samahani wakaka mtakaoudhika na hisia hizi

    ww mery mm kuna kitu maanake umekomaa na mzungu
  8. fecyfabby

    Samahani wakaka mtakaoudhika na hisia hizi

    Ww kumbe umedata na mzungu kumbe inawezekana ulisha onja ladha maana uwezikuenda kitu bila kijua ladha yake
  9. fecyfabby

    Samahani wakaka mtakaoudhika na hisia hizi

    wewe unavo mfanyia masai sio vizuri jiurize ungekua ni ww mruhusu basi na msai wako na yy aende kwa mhindi
  10. fecyfabby

    furahia jf

    heloo member jf:israel:
  11. fecyfabby

    Anayeua wanawake Dar es Salaam ashitukiwa

    jamani wa tz wezangu tuna elekea wap lakini mpaka tuna anza kuuana kama wanyama kwa nn jaamani:A S cry::A S cry::A S cry:
Back
Top Bottom