Du! Mzizikavu tunashukuru kwa somo zuri sana
nimejiiifunza vtu vingi mno kutokana na Uzuzu wa Kazala
hapa naomba niseme kidogo na watu wengine wajifunze kuwa; Ukiamian/kuabudu kitu kinachooneka na kushikika mf. Fedha,sanamu,hirizi, mapete,mabangili ya kichawi na kiganga wewe huwez kukwepa mitego ya shetan hata siku moja. Mf juu ya Mf: wewe ukiamin fedha wewe ndio wewe na unaweza kuhamisha milima, kuwapora wanyonge ardh yao si hauamin Mungu huruma inatoka wapi? Sasa akitokea mwenye hela zaidi yako si na wewe utakuwa mnyonge wake?
Na pia ukiamini huo Uchawi ambao ni = uchawi akipatikana mwenye kukuzid si unaondoka kwenye uso wa dunia? Mf wa
Kazala alizidiwa na wengine na baba na mwanae wakalamba mchanga!
Sasa si ni bora hata kazala alipofikia kaambiwa ukweli swali ni Je! Bi nyanguda
angekutwa au mzee wa tewe angekuwepo unafikir stori ingeishia hapa?
Ndg zangu wapendwa tumwamin Mungu asiyeoonekana wala kushikika lkn yupo
ukimuamin,kumtumikia na kumuabudu yeye nan aliye mkuu kuliko na hata kumzidi yeye??
Yaan nimeifungia kaz hii thread tokea juzi
nilisusa kuingia kwenye topc zingne mapaka kieleweke!!
Mungu awabariki wale woote mlijifunza na kukop mema!!!