Jamani hako ni kautafiti kadogo tu nilikofanya. Naomba msinishambulie sana wazee wa research. Katika tembea tembea yangu, nimekutana na wanawake wa kila aina. Lakini mara nyingi kila ninayemwona mzuri tena mzuri haswa, nashangaa hajaolewa. Hii imenitokea mara nyingi sana. Siku moja tulikuwa tunaongea na rafiki yangu mmoja kuhusu suala hili, ajabu nae aliniunga mkono kwamba wanawake wazuri sana kwa maumbo wengi wao huishia kuzalishwa na kuishi single.
Haya wanaJF mnakubaliana na conclusion hiyo, na kama ndivyo, sababu yake ni nini?
Mkuu umenichekesha sana, inaonekana huyu bidada alikuendesha sio polex2nishawahi kuwa na mmoja nikawa nakaribia kuzirai kwa presha nikamwacha nimeoa wa kawaida shenzi kabisa
Jamani hako ni kautafiti kadogo tu nilikofanya. Naomba msinishambulie sana wazee wa research. Katika tembea tembea yangu, nimekutana na wanawake wa kila aina. Lakini mara nyingi kila ninayemwona mzuri tena mzuri haswa, nashangaa hajaolewa. Hii imenitokea mara nyingi sana. Siku moja tulikuwa tunaongea na rafiki yangu mmoja kuhusu suala hili, ajabu nae aliniunga mkono kwamba wanawake wazuri sana kwa maumbo wengi wao huishia kuzalishwa na kuishi single.
Haya wanaJF mnakubaliana na conclusion hiyo, na kama ndivyo, sababu yake ni nini?
Mbona mimi ni mzuri na nimeolewa......... !!!
Na kwa taarifa yako hakuna mwanamke mbaya, wote wazuri. Ila kuna wapo ambao hawajaolewa, lakini sio kwasababu ni wazuri sana..:A S 13::A S 13::A S 13:
amesema mara nyingi. So wewe unaangukia kundi la mara chache
nijuavyo mimi usafi, mavazi na lishe humpendezesha ye yote mwanamke. Sijajua uzuri ambao mtoa hoja anuzungumziaKwahiyo wanaume huwa wanaoa wanawake wabaya????!!!!!.......hiyo nayo ni ajabu???!!!!
nijuavyo mimi usafi, mavazi na lishe humpendezesha ye yote mwanamke. Sijajua uzuri ambao mtoa hoja anuzungumzia
Sababu yake nyingine ni kwamba hakuna mwanaume anayependa kuikaribisha pressure akiona. Wanawake wa namna hii ni for public consumption sasa wewe unapotaka kuwa tame for household use unajitakia matatizo bure ndugu yangu. Kila kitu kimetengenezwa kwa sababu maalum vivyo hivyo kuna wanawake wanaofaa kuwa mama watoto na hawa huweza kutulia nyumbani , kuheshimu ndoa , kutunza watoto na mume, then kuna kundi lingine la wanawake "public figure" ambao kamwe usiku hauishi akiwa ndani kwani huyu disco ni lake, mashindano ya urembo lazima aende, mwanamziki mashuhuri akija lazima aende, kila kukicha yuko mjini kwa ma shosti huku kazi zoote akimwaachia msichana wa kazi. Huwa pia fashion mbalimbali hazimpiti na gauni kwake kuvaa ni dhambi kwani lazima avae suruali aina ya soksi ili makalio yajichore vema na akipita barbarani kila mtu amwone.
nishawahi kuwa na mmoja nikawa nakaribia kuzirai kwa presha nikamwacha nimeoa wa kawaida shenzi kabisa
Utakuwa ulikuwa 'sensitive' sana..mambo aliyokuwa anakupa ukawa unahisi anagawa!..lol, nimecheka sana comment yako!..kwahiyo sasahivi no kuzirai ha ha
wengi wao wakisha jiona ni wazuri wanaringa sana na wegi wao wapenda money na hawana pendo la kweli na at kama akiolewa lazima ndoa yake iwe na matatizo chungu nzima na jaribu kuchunguza wanawake wengi wanau uza miili yao wengi wao ni wazuri na hawana kasolo yoyote lakini hawaolewiJamani hako ni kautafiti kadogo tu nilikofanya. Naomba msinishambulie sana wazee wa research. Katika tembea tembea yangu, nimekutana na wanawake wa kila aina. Lakini mara nyingi kila ninayemwona mzuri tena mzuri haswa, nashangaa hajaolewa. Hii imenitokea mara nyingi sana. Siku moja tulikuwa tunaongea na rafiki yangu mmoja kuhusu suala hili, ajabu nae aliniunga mkono kwamba wanawake wazuri sana kwa maumbo wengi wao huishia kuzalishwa na kuishi single.
Haya wanaJF mnakubaliana na conclusion hiyo, na kama ndivyo, sababu yake ni nini?
nishawahi kuwa na mmoja nikawa nakaribia kuzirai kwa presha nikamwacha nimeoa wa kawaida shenzi kabisa