Recent content by FEARLESS

  1. FEARLESS

    JamiiForums Tanzania Wahitaji wa vyumba vya kupanga,nyumba na viwanja bei rahisi maeneo ya ukonga,majohe na chanika,pitia hapa.

    Asante mkuu kwa ushauri,karibu sana.
  2. FEARLESS

    JamiiForums Tanzania Wahitaji wa vyumba vya kupanga,nyumba na viwanja bei rahisi maeneo ya ukonga,majohe na chanika,pitia hapa.

    Je wewe unahitaji vyumba vya kupanga bei rahisi?,vyumba vipo chumba kimoja kunzia Tsh25000/= , vyumba viwili kunzia Tsh50000/= na nyumba nzima kuanzia Tsh150000/=,na upande wa nyumba zinazouzwa pagale ni kuanzia Tsh8000,000/= na nyumba nzima kuanzia Tsh25000,000/= kuendelea na upande wa viwanja...
  3. FEARLESS

    JamiiForums Tanzania Amesoma clinical medicine/Co anatafuta kazi hospitali au pharmacy na yupo Dar

    Habari wakuu! Mdada amesoma (clinical medicine/clinical officer)anatafuta kazi hospitali au pharmacy na yupo Dar. Kwa yeyote anayeweza kutoa msaada mawasiliano hayo hapo 0654983243.Asante sana.
  4. FEARLESS

    JamiiForums Tanzania Napangisha nyumba na vyumba maeneo mbalimbali nchini

    Habari wadau,nyumba inapangishwa ukonga banana ni stand alone,vyumba vitatu na seble ipo ndani ya fence Tsh 300000/=,kwa mwezi na mawasiliano 0654983243.
  5. FEARLESS

    JamiiForums Tanzania Maduka wanapouza nywele rasta bei jumla

    mpigie huyo jamaa atakupa maelekezo vizuri ana udhoefu na hiyo biashara +255654983243
  6. FEARLESS

    JamiiForums Tanzania SoC02 Chuki, ubinafsi na unafiki, ndio vinachelewesha maendeleo ya nchi yetu

    Utangulizi:nchi yetu ina utajiri mkubwa wa rasilimali lakini ina umaskini wa maendeleo, watu wengi wanajiuliza swali kwa nini? Sababu zipo nyingi ila tatizo kubwa ni fikra na mitazamo ya kimaskini iliyopo kwa wananchi walio wengi inayosababisha vitu hivi (chuki,ubinafsi na unafiki) ambavyo...
  7. FEARLESS

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wizara ya Maliasili na Utalii iliangalie hili katika kuchochea utalii wa ndani nchini

    Utangulizi: Awali ya yote napenda kutumia fursa hii kumpongeza "Mh: samia suluhu hassan, raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania" kwa kuonyesha upendo na mahaba makubwa kwenye sekta ya utalli nchini, kwa kuamua kwa dhati kucheza filamu ya "The Royal Tour" kwa lengo la kuhamasisha watalii waje...
  8. FEARLESS

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanapoteza wanaume wa kuwaoa kwa sababu hii

    ni vyema kama mme elewa.
  9. FEARLESS

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanapoteza wanaume wa kuwaoa kwa sababu hii

    sawa kabisa.
  10. FEARLESS

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanapoteza wanaume wa kuwaoa kwa sababu hii

    hahah sawa mamamzungu!
Back
Top Bottom