Recent content by fazai

  1. fazai

    Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

    Ila nakushauri usimkaripie onyesha upendo hata kama wakinafik....wakat anatoka jarib kupeleksha mtu alokua hamjui amfate nyuma wakat nawe ujiwa unachat na huyo mpelelez wako kwa kila anapokwenda anakutaarif nawe ukiwa unasogea.... Utamfuma tu wap anaenda na anafanya nn. Ukishajua ukweli ndo...
  2. fazai

    Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

    Ndo mana kaanza kiburi
  3. fazai

    Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

    Amelipa mapenz huyo
  4. fazai

    Punguzo la bei Kwa mahitaji ya mayai ya kuku wa kienyeji

    Inategemea kwa matumizi...kama unataka uje kupika tu hayaharibiki. Ila kama unataka uje kutotolea vifaranga hayatofaa tena
  5. fazai

    BoT wajitafakari kabla ya kuwatuhumu Bloomberg

    Nafkir tukiwa na good planing ama tukae tufikirie mbinu mbadala or plan B.... Naamin saraf ya nchi yetu itarud na kuwa na thaman kama nchi nyengine ama kuliko.... Ila nashaur Dr...Maguful aendelee kuumiza kichwa afichue wapi hajatumbuaaa....... Akifanikiwa hasa kutoa majipu yote...
  6. fazai

    BoT wajitafakari kabla ya kuwatuhumu Bloomberg

    Hiv inch jiran wana rasilimali zip zaid ya kuwashinda Tz.....ni kwa sababu zipi hasa tukawa nyuma kwa kila kitu kama mikia....yaan inaumiza kichwa kwakweli....yaan tuangalie tu... Mnajua kua planing is a source of the successfull. Without good planing in any issue or program u want to do never...
  7. fazai

    BoT wajitafakari kabla ya kuwatuhumu Bloomberg

    Yaaa hii sio kuporomoka tu.. Kuna siku itaanguka kabisaaa... Us $ 1= Tsh laki 1 ( 100,000) hapo to wale walo na macho watapoambiwa tazama na wasione pia.
  8. fazai

    Mange amshambulia Lulu

    Kama vip apewe kinachostahiki tu. Mwisho wa aibu frdheha. Na malipo ya dharau ni dharau tu ama jeuri but no money wala huruma.
  9. fazai

    Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

    Ila ukitaka upate comments nyingi zaid piga siasa kaka. Za kumwagaaa had utajuta kuwasha data
  10. fazai

    Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

    Si haba kapata comments za kutosha. Kumbe ukiingia kwa gia hii watu wanapiga comments kma hawana akili vyema sio
Back
Top Bottom