Recent content by Faza1980

  1. F

    JamiiForums Tanzania DART watoa msimamo wao kuhusu matumizi ya barabara za mabasi ya mwendokasi

    DART waboreshe huduma waache UNAA (in Mremas voice)
  2. F

    JamiiForums Tanzania RC Mnyeti akanusha madai ya utoroshwaji wa Tanzanite: Adai uzalishaji ndio ulipungua

    word.. put facts and figures aside and tell him what he wants to hear
  3. F

    JamiiForums Tanzania RC Mnyeti akanusha madai ya utoroshwaji wa Tanzanite: Adai uzalishaji ndio ulipungua

    Huyu ni yule prof aliekuwa UDOM akawaambia watoto wa watanzania wanachomzidi nacho ni umasikini na urefu tuu eeeh
  4. F

    JamiiForums Tanzania Eti upi ni umri sahihi kwa mtoto kiume kuwa na uwezo mzuri wa kujikimu hasa kiuchumi

    ngumu sana kujibu hili swali..wakati kijana wa kitanzania wa miaka 26-30 amemaliza chuo anahangaika kutafuta ajira au kujiajiri, wenzetu wa nje wanaocheza mpira wanajiandaa kustaafu huku akaunti zimenona
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Rais Magufuli hongera sana

    alafu tunawacheka wale wanaopewa upande wa kanga na tisheti za kijani wakati wa kampeni wanatoa kura wanafuatwa tena baada ya miaka mitano
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa nchi yoyote hutisha?!

    Na atishe kuwapiga mashangazi za watu.. Yaani unafanya kosa wewe shangazi yako tena alieko kijijini anaenda kushushiwa kipondo cha mbwa koko
  7. F

    JamiiForums Tanzania Inasemekana mishahara kutunishwa mwezi huu!

    Tatizo wakiongeza inakuwa ni balimi tano tu na hapo hapo panga la PAYE linapita
  8. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu mkoa wa Njombe

    hapana huwa napita tu mara moja moja..wakati mwingine nakuwa hapo siku mbili tatu kikazi kwa hiyo napaelewa sana
  9. F

    JamiiForums Tanzania Magari yaanza kupita katika 'flyover' ya Tazara

    Sipotezi tena usingizi wangu kwenda kupanga foleni..
  10. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu mkoa wa Njombe

    Tabia utazikuta huko huko.. Kuna baa maarufu.. Moja ni Giraffe, nyingine Sangamela na ya tatu inaitwa Ikweta na Tale. Ukianzia hapo Graffe ambapo ndo kiota kikuu kwa sasa utashangaa wahudumu sometimes ni wengi kuliko wateja.. naposema ni wengi ni wengi hasa.. Pamoja na ile baridi kali wahudumu...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Magari yaanza kupita katika 'flyover' ya Tazara

    Tunayotaka kuyaona kule bungeni kwa wanaotuwakilisha wao hawataki..yao wanatulazimisha tuangalie na kwenda kupanga foleni.. itakuwa kupangiana huko
  12. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mume

    Miaka 27 bado unaweka checklist ndefu hivyo? ngoja nisubiri miaka mitatu ijayo ukileta tena tangazo hapa kama k=vigezo vitakuwa hivyo hivyo au vitapungua
  13. F

    JamiiForums Tanzania Magari yaanza kupita katika 'flyover' ya Tazara

    Na hii bwana yule ataenda kuizindua ifikapo mwezi wa nane?
  14. F

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Kamanda wa Polisi Jiji la Dodoma (Kamanda Muroto) kwa kazi nzuri

    Na anapenda sana publicity.. anahakikisha akipata mtuhumiwa anamhoji na clip inarushwa
  15. F

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu mpya wa wanasiasa wa Tanzania kuvaa bendera ya Taifa maana yake nini ?

    mwakyembe alisema wamewaachia wananchi waamue.. hadi leo kimyaaaa
Back
Top Bottom