Recent content by faya

  1. faya

    JamiiForums Tanzania Nakupenda sana: Pumzika kwa amani Mama yangu

    Mkuu sms imeugusa moyo wangu sana nami niliondokewa na baba yangu ghafla wiki tatu sasa kupoteza mzazi kunauma sana kila nikikaa natamani hata angeumwa nimuuguze walau au nimuone akikata roho walau angeongea neno la mwisho lkn haikuwa hivyo just emergen simu ya baba yako inaita unajua yeye ndo...
  2. faya

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Dar, Jipime kuhusu Taka zilizorundikana Barabarani

    Hii dhana haipo dar peke yake hata arusha nalo ni tatizo hawa wakuu waliitikia wito wa rais bila kujipanga haiwezekan wananchi tumefanya usafi tokea tarehe 09-12 hadi leo uchafu ulipokusanywa upo wala hawaba dalili za kuutoa tumekusanya mafungu ya uchafu ili kuhararisha mlipuko wa kupindupindu...
  3. faya

    JamiiForums Tanzania ITV Kurudia Mkutano wa Lowassa Mwanza Leo Saa 10:15 Usiku

    Itv haishiki wadau wala eatv kupitia startimes
  4. faya

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo afariki dunia

    Apumzike kwa amani
  5. faya

    JamiiForums Tanzania GE2015 UVCCM yamvaa LOWASSA, yakerwa na kauli zake za kutetea wabakaji, wamshangaa SUMAYE

    Nadhani huu sio wakati muafaka wa CCM NA UVCCM kukaa na kuanza kumuongelea LOWASA mnampa publicity bila nyie kujijua au ndo lile kundi lililohaidi kumsapot mkiwa ndani ya chama ?
  6. faya

    JamiiForums Tanzania Crdb mahenge ifakara ni janga

    Utingo hao jamaa wangekuwa wawazi sasa ina maana gani wanakuja maofisini kutafuta wateja na wanatuletea form tujaze za nn?
  7. faya

    JamiiForums Tanzania Crdb mahenge ifakara ni janga

    Crdb ni janga kubwa sana hasa branch zenu hizo nilizozitaja haiwezekani mfanyakazi wa serikali niombe mkopo tena nimetimiza masharti yenu yote lkn hadi sasa ni miezi saba nikifuatilia mnanipa majibu ya ovyo mara nyie mahenge hamna uwezo wa kukopesha sasa mpo hapo mnafanya nn? Mkaniambia niende...
  8. faya

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza fedha kwenye account yangu ya CRDB

    Crdb ni janga hadi naishangaa hii bank ...huduma zao mbofu pili usiombe mkopo kabisa yaan mkopo kwa mfanyakazi inachukua mwaka bora hata saccos
  9. faya

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Friday Night Live (FNL) cha EATV kinavunja Maadili

    Kweli umbo lake utata tupu
  10. faya

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Arusha ndo tumeshazoea sasa huo mgao wao
  11. faya

    JamiiForums Tanzania UKAWA kumpata mgombea Urais Jumamosi

    Hizo ni tetesi bado hata jina kapuni mkuu ?
  12. faya

    JamiiForums Tanzania CUF kuachana na UKAWA na kuungana na ACT-Wazalendo?

    Ukawa ikivunjika ndo litakuwa kaburi la vyama vya upinzani
  13. faya

    JamiiForums Tanzania Nitamshangaa sana Lowassa iwapo atasimama majukwaani na kumnadi Magufuli pamoja na CCM

    Mzee aachane na siasa sasa hili pigo la safari hii ni kubwa sana na halivumiliki kabisa asijaribu ku cross kabisa abaki na kiheshima walau
  14. faya

    JamiiForums Tanzania Wafahamu wachawi na uchawi hapa

    Foxyizafa nadhani mleta mada kaandika kutokana na upeo wake ulipoishia kwenye hii mada ...sasa ww kama unauelewa mkubwa zaidi ilibidi uongezee au uandike jinsi ujuavyo ww kuliko kumkosoa mtu bila kuelezea ukweli wako ..inaonekana hii mada kama imekugusa umejibu kwa jazba sana
  15. faya

    JamiiForums Tanzania Sugu, kumnyang'anya mtoto mlezi mwenzio ni muendelezo wa kukandamiza wanawake

    Licha ya heshima aliyonayo sugu nadhani hata ningekuwa mm nisingeruhusu mwanamke wa hivyo amlee mwanangu
Back
Top Bottom