Recent content by FAU86

  1. F

    JamiiForums Tanzania 10 milioni napata nyumba ya size/ramani gani?

    utapata slop ya vyumba 2 na sebule ilio bora c vinginevyo..... Yaan hyo unaanza kujenga mpaka unaingia hulaz
  2. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza hati ya umiliki wa ardhi ya Dodoma ibadilishwe hadi miaka 99

    wataalamu naomba tueleweshane hili... kwanin ardhi iliyo chini ya rais umiliki wake uwe Wa mkataba kwa miaka kadhaa? na nan atamiliki hyo ardhi baada ya mkataba? na uwekezaj uliomo je inakuaj? tueleweshane tafazar
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kubadilisha hili neno liwe katika lugha ya kiingereza

    dad, of which number from your derivery am I? kumb: kiingereza hakina neno maalum kama kiswahl tunaangalia kueleweka semantic meaning
  4. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    unajua kwa nin mungu anaitwa simba Wa yuda wala sio Wa nyikani? ni kuonesha tu utofaut wake na hao cmba wengine uwajuao yaani yeye ndie pekee alie kwa yote... ndie pekee ambaye hapangiwi na MTU kwani hakuchaguliwa na yyt mungu huadhibu kwa namma yeyt na popote pale iwe u mauti au bado ungali...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mama abeba mimba miezi 13, ajifungua chura na mdudu wa ajabu mwenye manyoya meusi

    mchungaji amemtengeneza ili apate kiki
  6. F

    JamiiForums Tanzania Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    matukio ya bongo bahati mbaya mwisho wake huwa haujulikan lakin hili move lilikuwa poa sana tungejua mpaka mwisho wake
  7. F

    JamiiForums Tanzania Huu ndio uzuri wa mheshimiwa Pombe Magufuli

    amepunguza uzinzi, na ngono zembe maana watu hawana hela za kuhonga kabisaaa
  8. F

    JamiiForums Tanzania Rushwa Fixed Account: Msajili na Gavana wanatuona watanzania hatuelewi chochote

    nashukuru kwa maelezo yako ya ziada lakin napenda kujuzwa zaid Mkuu hii 15% ni kwa FDR ya muda gan
  9. F

    JamiiForums Tanzania Je, waislamu walikosea kumtuhumu Ndalichako?

    hoja yako haija simama haionesh uhusiano kati ya kauli yake ya kuingia chuo kupitia fomu 6 na waislamu kumtuhumu ndalichako... fafsnua kwa kina ueleweke usilete mada za udin za zaman kwenye mada za maendeleo..... kuna chembe gani ya udini kati ya university cut point na kufeli kwa waislamu?
  10. F

    JamiiForums Tanzania Hili Pengo la Walimu tutalizibaje????

    hali za binadamu wanameno kias gan na wanasaut gan ktk mambo haya
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kuitwa interview na matapeli

    usisubutu kuituma hela wala kuwaamin hai jamaa.. huwa nilikua najifanya nawajua matapeli na kuwakwepa lakin kwa hai jamaa nimeliwa 13000 + nauli wilayani to mkiani 10000 x2 + chakula + kulala yaan nnamahasira nao mbaya... ukitaka kuthibitisha wapigie namba zao hzo uone kama utapokelewa na Daima...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Mwalimu Frank Msigwa mtesaji mkuu wa mwanafunzi

    ngoja waje maana umekuwa mchochez
  13. F

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kiongozi masikini hawezi kuitajirisha nchi

    kwa mantiki yako kiongoz, 1.awe tajiri 2. awe na historia ya uongoz 3.awe anatoka mjini nakubaliana nawe labda kwa point ya pili nayo kwa 30% maana c kweli kiongoz bora lazma awe na uzoef huo na cjui nyerere unamchukulia kundi gan na kama no kiongoz bora kwan alikuwa na hstoria gan ya uongoz...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Hali halisi mtaani kwetu na hapa ni ofisi ya mtaa

    siku nyingine tuwekee picha na Maelezo yako jitahd yawe ya kina kuongeza msisitizo na kuaminika zaid
Back
Top Bottom