Recent content by FatherOfAllSnipers

  1. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Nimeuza mechi alfajiri ya leo, nahisi nimeambukizwa VVU naombeni PEP

    Sijaenda kupima mkuu, afya yangu Iko vizuri tu. NIlichofanya tu nimeongeza ulaji mzuri na mazoezi.
  2. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Nimeuza mechi alfajiri ya leo, nahisi nimeambukizwa VVU naombeni PEP

    Wakubwa mlininyima PEP Sasa hivi mnajisikiaje, Niko mzima wa afya na yule mbwa alishaniblock sijui keshakufa
  3. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Wazungu na matajiri wanawezaje kula hivi?

    Inategemea na mazingira. Kwa siku za hivi karibuni asubuhi nakula chakula Cha nguvu, mchana nakula wastani, usiku naweza nikanywa Juice fulani hivi tu au chai na nikalala safi. Hii Kwa siku za zamani sikuweza, ilikuwa lazima usiku Nile kama nataka kuhama 🤣
  4. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Nimeuza mechi alfajiri ya leo, nahisi nimeambukizwa VVU naombeni PEP

    Kama kawaida mkuu nikipata nafasi nafungia ndani mzigo inakuwa mwendo wa kazi kazi
  5. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Nimeuza mechi alfajiri ya leo, nahisi nimeambukizwa VVU naombeni PEP

    🤣🤣🤣 Niko hai mkuu Tena wa afya
  6. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Nimeuza mechi alfajiri ya leo, nahisi nimeambukizwa VVU naombeni PEP

    Nyie mbwa bado Niko hai ingawa mlikataa kunipa PEP
  7. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NI marufuku mke kulala na nguo na inashauriwa mume alale na kanzu

    Mikigeuka tu unachomeka au vipi
  8. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya EFM ya dada VERONICA mpya ya leo ina viashiria vya kupromote ushoga

    Kumbe kuna watu mpaka hapa Jf Tena wanaume wanasikikiza zile story? Mara zote mitaani nawaona wanawake ndiyo wanasikiliza
  9. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Siasa chafu, kubambikiana ma kesi kunajenga chuki sana kwenye jamii

    Kifo ni kifo tu mkuu
  10. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Wanawake wana nidhamu ya pesa kuliko sisi Wanaume

    Hiyo Milioni mia ya kikoba cha wanawake, ni sawa na hela anayolewa mwanaume mmoja pale Mbudya kwa usiku mmoja. kwahiyo mwanaume ni mwanaume tu
  11. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Kwann vichaa hawadhuriki na magonjwa?

    Nakubaliana na wewe! Baba yetu mkubwa aliwahi kuwa na kichaa, anatembea uchi huku anaokota hiki na kile. Wanaumwa kama sisi tu niliona mara kadhaa baba mkubwa anaumwa.
Back
Top Bottom