Recent content by Father Mauji

  1. F

    JamiiForums Tanzania Misemo ya viongozi wa kisiasa Tanzania

    Kauli namba 20 imeshashafafanua kuwa huko anakolilia tumpeleke Oktoba mwaka huu hapamfai hata kidogo tuangalie mwingine wa kumpeleka sio huyo.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuoa

    Awe Muislam, kuanzia miaka 35 na kuendelea, awe na shughuli ya kufanya, awe anajua maana ya ndoa na miiko yake. 0765288383 au 0782190718
  3. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva

    Umri miaka 47 na uzoefu wa kutosha. Anayenihitaji 0753333619 au 0713886661
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kama hujazaliwa chini 1990 mambo haya hutayajua

    Kutemea mate kitu unachokula ili wenzio wasikuombe.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Vijimisemo vya zamani

    Dukinaa, Mnoko, Kishtobe, Kauzu
  6. F

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Mchambawima, Mwembemchomeke, Kichaka cha mwizi, Kwampendae.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Kingunge Ngombale Mwiru- Mlezi wa chama cha waganga wa tiba asilia Tanzania.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Je, baba yako analo?
  9. F

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Mganga haagizi dagaa!
  10. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA: George Tyson Afariki - Msiba mwingine Tasnia ya Filamu

    Mungu awalaze mahali pema peponi, amin.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba avuliwa skafu na Spika!

    Mnyiramba huyo ndiyo maana yuko hivyo.
Back
Top Bottom