Ni tarehe 1 Aprili. Umerudi home ghafla unamkuta rafiki yako yuko na mpenzi wako kitandani wamekumbatiana wako uchi, walipokuona mpenzi wako anakuambia "honey leo ni siku kuu ya wajinga duniani, tulikuwa tunakutania tu, ili tuone utafanya nn? "Je utafanya nini na ukiangalia ni kweli siku hiyo...
Tz washereheshaji ni wemgi kuliko watangazaji. Ila bongo bwana Samadu anajua. Kuna wamiliki wa media hawajui umuhimu wa media. Wanajaza washereheshaji tu.cv zao nikuomgea tu.
Naomba umwambie Kikwete endapo wabunge wa bunge maalumu la katiba wanakataa posho ya laki 3, basi atumie walimu kwani SISI tunafanya kazi hizo maalumu kwa posho ya 5000\= hadi 20000\=. PER DAY. Mwalimu hata akipewa biscuts na karanga, zinamtosha. Hivyo Kikwete akitufanyia 40000\=. Katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.