Recent content by Fascinating

  1. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu: Mauaji ya eShowe ni kwasababu ya Uhaba wa Wafanyakazi Afrika Kusini

    Hivi mmeiona hii video ya tukio la mauaji yaliyotokea Jumamosi iliyopita kwenye duka la Boxer huko eShowe, KwaZulu-Natal? Inatisha sana! Jamaa mmoja (33) aliyekuwa mfanyakazi wa duka hilo aliwaua kwa kuwamiminia risasi mameneja watatu wa kike ofisini kwao baada ya kufukuzwa kazi kwenye kikao cha...
  2. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Kenya’s inflation rate is now 6.6%, while Tanzania continues to thrive at 4.3%

    Tofauti kati ya Tanzania na Kenya ni Uwazi na usahihi wa Taarifa... Yani vitu vipande bei mpaka 100% na bado inflation iwe 4.3%?
  3. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Rais wa DRC, Kabila, Kuongoza Muungano Mpya Utakaochukua Nafasi ya AFC/M23

    Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Joseph Kabila, anachukua uongozi wa jukwaa jipya la kisiasa na kijeshi linalojulikana kama Front for the Refoundation of the Nation (FRN). Akitangazwa siku ya Jumatatu mjini Goma, mashariki mwa DRC, muungano huo unajumuisha viongozi...
  4. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Vijiwe nongwa wameanza, kweli Chivayo amekata au ameingia mitini na Vibunda vya watu?

    Wakuu, nadhani mmeiona hii habari inayotrend mitandaoni kuhusu taarifa za kifo cha mfanyabishara wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo. Taarifa za awali zinasema helikopta yake imeanguka maeneo ya Marondera. Lakini cha kusikitisha ni kwamba, kabla hata mwili haujapoa, tayari minong'ono na nadharia za...
  5. Fascinating

    JamiiForums Tanzania 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    🌚🌚
  6. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Global Leaders Mobilize $3.5 Billion for Education at UNGA81 "Multiply Possibility" Event

    World leaders gathered at the United Nations Headquarters in New York this week as part of the 81st UN General Assembly, uniting behind a bold new push to close the global education financing gap. At the high-level "Multiply Possibility: A New Era for Education Financing" event, co-hosted by...
  7. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Kuuliza sio Ujinga mkuu, hivi vishika mkanda kwenye Jinzi vinaitwaje?

    Wakuu nimejikuta kwenye mtatizo wakati nikielezea kitu, imenibidi nikubali kuwa akiba yangu ya misamiati haitoshi kutoa maelezo. Kuna hivi vishika mkanda kwenye suruali, Vinaitwaje? Je kuna jina rasmi la kiswahili?
  8. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Meli yenye Bendera Ya Tanzania Imeshambuliwa na Drone ya Russia

    Wizara ya Miundombinu ya Ukraine imesema kuwa shambulio la ndege isiyo na rubani ya Urusi dhidi ya meli yenye bendera ya Tanzania, iliyokuwa ikielekea bandari ya Ukraine, limesababisha kifo cha nahodha wa meli hiyo na kuwajeruhi wafanyakazi watatu. Meli hiyo iliyokuwa ikisafiri chini ya bendera...
  9. Fascinating

    JamiiForums Tanzania INDIA na Mkutano wa BRICS: Mfumo unawapa watu umasikini kisha wanautafutia pazia kuuficha

    India imepata uwenyeji wa kukaribisha mkutano wa BRICS Septemba hii. Mijadala yenye tija ni mingi sana kwenye mkutano huo, na mimi nimeamua kutega sikio maana kwa siasa za dunia za siku za usoni, kuna uwezekano mkubwa sera za dunia zikawa zinashinikizwa na wao. Mambo ni mengi mjini New Delhi...
  10. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Kwa Waislamu mke akifiwa na mume anatakiwa kukaa eda miezi 4 (siku 130), sasa itakuwaje?

    Wakuu na waachia Fatwa
  11. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Mizigo ya Amazon Yaacha Njia na Kushika Moto Nje ya Uwanja wa Miami

    Ndege moja ya mizigo ya Amazon Prime Air imepata ajali na kushika moto baada ya kupitiliza barabara ya kutulia (runway) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Miami, Jumapili hii mchana (usiku wa Saa 3 Tanzania). Ndege hiyo aina ya Boeing 767-300, iliyokuwa ikitokea San Juan (Puerto Rico) ni...
  12. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkurugenzi wa TBS hajioni tatizo kwenye hili SAKATA LA VINYWAJI RWANDA?

    Hivi hivi karibuni, tumeshuhudia operation kubwa ya kiudhibiti wa ubora na usalama wa vinywaji nchini Rwanda lililozua gumzo kubwa Afrika Mashariki. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha zaidi ni jinsi Shirika letu la Viwango Tanzania (TBS) linavyolichukulia jambo hili kana kwamba halituhusu...
  13. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Marufuku ya Pombe zisizo na Ubora Rwanda: TBS imelala wakati Watanzania wanaweza kuwa wanapata Upofu na Kufa kimya kimya?

    Yani mtu anadhibiti ubora wa Toyo na anataka kudhibiti na ubora wa Pombe... 🥹
Back
Top Bottom