Kuna huyu mwalimu alikuwa anaitwa Mwang'onda, alikuwa balaa, alikuwa anachapa kama hana akili nzuri na jicho moja alikuwa chongo, basi siku moja majamaa wametoka darasani wameenda toilet kujificha, si akawaibukia, kipindi hiko shule ya sekondari haijawekewa uzio, basi majamaa walimzungusha choo...
Kumbe ulikuwa unanijaribu, hivi hujui nimemkisakosa beki tatu, na alishalainika kwa kweli, ila baada ya kunitoa kifungoni nimeghairi hahaha, wanawake mnamajribu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.