Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
MIMI SIO NABII LAKINI YAFUATAYO UTAYAONA KINONDONI.
Salum Mwalimu akianza kampeni yeye au timu yake watakamatwa na kuwekwa ndani pia itaambatana na kunyimwa dhamana.
Wafuasi hasa wa upinzani kuna kupigwa na kuonewa bila hatia. Jeshi la polisi litakuwa kali kweli kweli.
Uchaguzi huu mizengwe itaanza mapema makada wa ccm watataka kumpinga mahakamani salum Mwalimu asigombee.
Mawakala watacheleweshewa form makusudi ili kusababisha vituo baadhi vikose mawakala wa upinzani ili wajivunie kura bila tatizo.
Kutakuwa na matamko ya hapa na pale ya tume ya uchaguzi kujaribu kujionesha wako neutral.
Wapinzani watashushwa majukwaani kwa kuikosoa serikali ya jpm. Na watafunguliwa mashitaka ya uchochezi na kukosa dhamana.
Vijana wa ccm wataongoza kwa vurugu na kuzuia wapinzani kuikosoa serikali.
Watafuta kazi wengi wataitisha press conference kuongea na vyombo vya habari kuisifia serikali na kukosoa hata kutukana upinzani.
Matokeo ya uchaguzi hayatatangazwa kirahisi kama ccm itaangukia pua.
YETU MACHO.