Recent content by farujeuri

  1. farujeuri

    JamiiForums Tanzania Serikali kaeni chini na Zuchu awasaidie kuboresha elimu

    Huyu mama Gwajma asiguswe kabisa wakubwa mama namkubali sana, na katika mawaziri ambao wanafanya kazi zao ipasavyo huyu mama yupo. Nambie ni waziri yupo kaweka mawasiliano yake public (namba ya simu) ila yeye kaweka ili kuifikiana vizuri na wananchi. Kongole Dkt. Gwajima D Gwajima
  2. farujeuri

    JamiiForums Tanzania Kariakoo na Dar es Salaam: Wanahistoria tendeeni haki Historia za majina hayo

    Nimejikuta natabasam kumbe watu wenye vichwa vilivyojaa fikra yakinifu Bado tupo wengi, hongera kwako FaizaFoxy na Yule kaka aliyekuwa anatema madini ya miaka hyo akitujuza juu ya bibi yetu Deborah n.k
  3. farujeuri

    JamiiForums Tanzania Kwa wafanyabiashara: Unatangazaje biashara yako kwa wengine?

    Mkuu salute kwako Mimi Bado nna mengi ya kujifunza kwako
  4. farujeuri

    JamiiForums Tanzania Biashara zangu 5 za wakati wote kwa hapa Dar es Salaam

    mkuu recpect sana
  5. farujeuri

    JamiiForums Tanzania Je kwanini kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja au zinaa imekatazwa?

    [emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
  6. farujeuri

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Je maradhi ya hernia yanachangia Kwa kiasi Gani upungufu wa nguvu?
  7. farujeuri

    JamiiForums Tanzania AFYA: Vitambi hupunguza uwezo kushiriki tendo la ndoa

    Kaka mchawi muda wa kutimiza kuyafanya hayo mazoezi kulala saa saba kumaka saa nane
  8. farujeuri

    JamiiForums Tanzania AFYA: Vitambi hupunguza uwezo kushiriki tendo la ndoa

    Nasikiaga maji ya uvuguvugu pia yanasaidia kupunguza endapo utayanywa asubuhi kabla ya kula chochote.. naombeni mnijuze je hayana madhara kiafya???
  9. farujeuri

    JamiiForums Tanzania Tunauza panya

    Hao panya weupe kazi yao nn na bado wanapatikana???
  10. farujeuri

    JamiiForums Tanzania HT: BRAZIL 1 - 0 ARGENTINA

    Kwao ni muda mzuri
  11. farujeuri

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Kenya Kutembea

    Kadi ya njano kazi yake nn
  12. farujeuri

    JamiiForums Tanzania Mchele Sasa unapatikana kwa bei rahisi, upate ndani ya Siku tatu popote pale Tanzania

    Itapendeza Kama ukiweka bei nzuri zaidi kwasabab huku Mchele mzuri ni hyo hyo 2000 ambayo unautoa hapo dukan kwa mangi unauweka jikon sio ule wa kuufata ubungo
  13. farujeuri

    JamiiForums Tanzania Najitolea kwenda kuichukua ile pikipiki iliyopo vetenary

    Mkuu Leta mrejesho maana nimepata pale muda sio mrefu nimeiona
  14. farujeuri

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine za kisasa za juisi ya miwa zishakuja; wahi zipo chache

    Bado mnazo au zimekwisha faru jeuri
Back
Top Bottom