Recent content by faru tz

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza Samsung S5 16Gb Ram 2Gb Camera 16MP Android 6.0 Network 4G LTE Fingerprint scanner. Water & dust resistance. Haina tatzo lolote. ```Price ni Tsh.290k``` Contact 0768811391 for more info & pic.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    C9 Contact 0768 811 391
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Tecno Camon C9 16 GB RAM 2GB CAMERA 13MP (FRONT & BACK) 5.5 screen In good condition Price. 230K Contacts 0768 811 391
  4. F

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Tuuze Mikoa mitano kwa nchi za America na Europe tupate fedha za maendeleo

    Mitano mingi, mmoja tu unatosha! Nadhan mshaufaham... Ule ambao una matukio mengi afu wakaz wake wanaongea sana hawafanyi kaz wanaishia kutafta Kiki.! Waliomo ndan wakitaka wahamie ule mkoa ambao wanaambiwa kuhamia hawatak!... Wasiotaka kuhamia tunawauza na wao tubak na nchi ytu Sijataja mkoa...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri; amesema hanitaki na nisimtafute tena

    Usimtafute
  6. F

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane tukio ulilowahi kufanya Primary au Sekondari na unakumbuka kama kituko hadi leo

    Uscheke prince..mi mpka kuna jamaa tukikutana tulosoma nao wakikumbuka inakuwa kituko. Nashindwa kuwajbu maake hta cjui nlitoa wap maamuz yale..ila kwa akiekuwepo bac tu mpka leo wanaamin kichwa chngu co kizur..
  7. F

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane tukio ulilowahi kufanya Primary au Sekondari na unakumbuka kama kituko hadi leo

    KUONDOKA NA MPIRA UMWANJANI UKIWA UMETENGWA INASUBILIWA PENARTY IPIGWE... Ilikuwa secondary tukiwa tunacheza mpira na form Six, ilikuwa ligi ya shule ila shule ilikuwa haina mipira ya kutosha. mmoja ukawa umetoboka na ndo ulikuwa ukitumika. Nakumbka mimi nlikuwa nina mpira nlotoka nao nyumban...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mliositishiwa ajira June 2016 wote mje hapa ili kujua cha kuwasaidia!

    Muda ndo huu fanya maamuz acha kujpa tumain kwamba time will tell
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mliositishiwa ajira June 2016 wote mje hapa ili kujua cha kuwasaidia!

    Mawazo pevu yapi, ungekuwa na nia ya kuwasaidia ungeyaweka hayo mawazo kama uzi wako ulivoanza lkn badala yake inaonekana waz kuwa ww ndo unayahitaji hayo mawazo. Kuwa muwazi omba ushaur maana inaelekea ww pia umo kweny hlo kund
  10. F

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya kwa Mafisadi na Wapiga Dili

    Hivi kumbe na mimi ni FISADi!!!!?? Nna hali mbaya pia
  11. F

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Rais, Zitto aifurahia sana Bombadia

    Kwan nauli ya ndege zetu ni tsh? Je nami naweza kupanda kutoka huku porini niliko? Naomba majbu
Back
Top Bottom