Mliositishiwa ajira June 2016 wote mje hapa ili kujua cha kuwasaidia!

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
956
593
Najua vjana wapo wengi sana ktk kundi hili, je wahtaji nn zaidi? Kurudshwa kazn, malipo au kipi hasa kitakachofuta machoz yako na maumivu yako, Uzi huu ni maalumu na waziri anaehuska na hili anaptia mawazo yako, naharaka yatafanyiwa ufumbuzi ndani ya wiki 2!

Nawasilisha!
 
Baada ktoa mawazo yako ili usaidiwe unalalamika na kuponda, sawa kama ndo faraja yako!
 
Ww niache na utuache ww sio mwajiri wetu uwezi kutusaidia tunafuata utaratibu wa utumishi wa umma mtumishi wa umma ana taratibu zake
 
Idara ya utumishi umma imekufa au unafkr ipo hai? Kuna kusubr embe chin ya mnazi! Leo walimu wa sayansi wanamalizia kutuma vyeti, wahakikiwe tena miez 2, ndo wapangiwe vituo vya kazi hafu na nyinyi ndo mkumbkwe huoni kuwa ni muda mrefu mpaka mtakuwa wana kjjn?

Subr sasa hao waajiri wako, naukpga cm wanakwambia hawajapata kibali cha kuwardsha kazn! Kuna kitu nilitaka niwashauri lakn mmejaa hasira!
 
Watajua wenyewe hakuna watoto
 
Miez 7 leo mpo kitaa hafu hamtaki mawazo pevu
Mawazo pevu yapi, ungekuwa na nia ya kuwasaidia ungeyaweka hayo mawazo kama uzi wako ulivoanza lkn badala yake inaonekana waz kuwa ww ndo unayahitaji hayo mawazo. Kuwa muwazi omba ushaur maana inaelekea ww pia umo kweny hlo kund
 
Back
Top Bottom