FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,392
- 4,468
Labda ndio anakagua, akifika ataita press conf.Hivi huyu Zitto si ndo alisema hizi ni ndege mtumba kutoka Khazakhstan?

Ndege gani hizo?Wana jamvi wasalaam.
Ni wazi sasa hata wale waliokuwa wanaziponda ndege zetu kuwa hazina break mara ni sawa na babaji wameanza kujionea kwa macho na wamezipanda na kuzifurahia...
Nampongeza sana Mh Zitto kwa kuanza kuzitumia Ndege zetu hizi bora na bila shaka umejionea ubora wake maana hadi sasa hujasema jambo lolote hata kutoa pongezi kwa Mh Rais..
Mh Rais naendelea kukupongeza sana bila kujali kelele wewe unatenda kwa manufaa ya watanzania wala huhitaji mtu ashukuru hadharani lakini yeye kujionea kwa macho inatosha kabisa.
Asante pia Mh Zitto kwa kutumia Ndege zetu nzuri na bila shaka ulifurahia sana safari kwani hilo tabasamu sio la bure bure bali ni raha mstarehe...
Kwaniaba ya Air-Tanzania tunawakaribisha sana watanzania wote mtumie ndege zetu kwani hamtojuta kuzitumia mtafurahia sana tena sana kama hapo chini mnavyo muona Mh Zitto.
Tuna wakaribisha sana watanzania
Faustine Ndugulile@DocFaustine
Baadhi ya wabunge kwenye safari ya kwanza ya @AirTanzania toka Dar kwenda Dodoma. Pongezi kwa Air Tanzania kwa huduma nzuri cc @MbarawaM
na mimi nishapandaga bombardier hii.Wana jamvi wasalaam.