Recent content by faru joni

  1. faru joni

    JamiiForums Tanzania Dizasta vina - Hatia V

    DIZATA VINA, NI MTU MBAD SANA, JAMAA ANAJUA MPAKA ANAJUA TENA
  2. faru joni

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

    huu uzi ni wa moto sana
  3. faru joni

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Hdd Password Remove Service

    Karibu sana mkuu, upo mkoa gani?
  4. faru joni

    JamiiForums Tanzania Ambaye amekuwa certified na isaca certified information system audit(cisa) naombeni msaada

    Habarini za masiku mengi ndugu zangu, naombeni aliyefanya kazi kwenye iyo industry ya INFORMATION SYSTEM AUDIT na ambaye amekuwa certified na iyo industry aje PM anisaidie kimawazo/ ki ushauri. Asanteni sana ndugu zangu.
  5. faru joni

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa ukweli wa hizi ajira za Dangote

    yote maisha tu mkuu
  6. faru joni

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa ukweli wa hizi ajira za Dangote

    kinachokucheksha ni nini:mad:
  7. faru joni

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa ukweli wa hizi ajira za Dangote

    asante nimeshapoa mkuu
  8. faru joni

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa ukweli wa hizi ajira za Dangote

    laki mbili na thelathini mkuu (230,000) wadai kuwa niwatumie ya kushona mavazi ya kazinini
  9. faru joni

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa ukweli wa hizi ajira za Dangote

    Nimewatumia hela hawapoke simu sasaivi, wakuu msitume hela ni mataperi mimi ndio nimetoka polisi muda huu kufungua kesi
  10. faru joni

    JamiiForums Tanzania Achoma gari makusudi baada ya kushindwa kulipa deni la gari hilo

    mimi natafakari huo umri wa miaka 25 anamiliki mali zaidi ya milion mia mbili wakati mimi nimepanga chumba kimoja na nina miaka 30"s na sijui kesho yangu ni ipi
Back
Top Bottom