Recent content by Faru John

  1. F

    Hongera JamiiForums, mmeiamsha World Vision Tanzania sasa inajisafisha

    Habari wana JF, Miezi kadhaa iliyopita uliwekwa uzi na Mahede Mkorofi kuhusu mambo yasiyofaa yaliyokuwa yanaendelea katika shirika la World vision Tanzania. Pamoja na ukweli kwamba uzi ule haukuwafurahisha baadhi ya viongozi hadi kutumia nguvu nyingi kutaka kujua Mahede Mkorofi ni nani...
  2. F

    DAWASCO kulipisha pesa kwa kisima ulichochimba mwenyewe ni sawa?

    Anaandika Manager wa Mkoa wa Ilala Kwa Mtoa Mada hapo Juu naomba nikupe Darasa kidogo kuhusu visima, Kisima ni Mali ya Mtu na hakina Mamlaka yoyote na DAWASCO, hakuna tozo yoyote ya Kisima kwa DAWASCO, visima vyote kuanzia usajili, umiliki hadi ukaguzi unafanywa chini ya Taasisi ya Serikali...
  3. F

    Ilala: Zaidi ya Masaa 24 Bomba la Maji Lapasuka na Maji yanatiririka

    Wewe ni muongo, ulikuwepo masaa yote 24 kuangalia maji yakivuja? Mimi naishi huo mtaa, maji yalikuwa yanavuja kweli lakini haikuchukua muda watu wa Dawasco walikuja baada ya kupata taarifa kutoka kwa mwenyekiti wa mtaa, tena walimaliza tatizo ndani ya muda mfupi tu.
  4. F

    Ilala: Zaidi ya Masaa 24 Bomba la Maji Lapasuka na Maji yanatiririka

    "Kaka naona umetumwa kweli kuichafua Dawasco, huu uvujaji umeripotiwa Jana na Jana usiku watu wa Dawasco Ilala waliweza kufika na kudhibiti huu uvujaji, Tatizo huyu Mtoa Mada anaongea hajui kuna watu tunaishi Maeneo haya haya, Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake mpeni, hawa Dawasco sasa hivi...
  5. F

    Serikali yakanusha kuzuia watumishi wa umma kukopa SACCOS,VICOBA na BANK

    Huyu aliyekanusha hajui alichokikanusha, kuna rafiki yangu ameshindwa kuwekewa hela PBZ leo kwa sababu fomu zilirudishwa kwa ajili ya uhakiki, inasemekana kuna maagizo benki zimepewa juu ya hii issue.
  6. F

    Hivi mtumishi wa umma katika awamu hii anafanya kazi kwa bidii na weledi ili aje kuwa nani?

    Waambie wasinitafute, niko JF. wahangaike kumtafuta Ben Rabiu wa Saanane.
  7. F

    Hivi mtumishi wa umma katika awamu hii anafanya kazi kwa bidii na weledi ili aje kuwa nani?

    Hapo mwanzo tulizoea kuona watumishi wa umma wakifanya kazi kwa bidii na kwa ufanisi mkubwa ili waweze kukua na kuja kupata teuzi katika nyadhifa mbali mbali kama Wakuu wa Idara, Wakurugenzi, Makatibu Tawala wa Wilaya na Mikoa, Makamishna na nyinginezo. Lakini hali inayoonekana kwasasa...
  8. F

    Anuani ya rais: Nahitaji nimtumie rais barua

    Ukipata na mimi naomba tafadhali
  9. F

    Saa 72 za mabadiliko CCM

    One man show ikiendelea kwenye chama ataona faida na hasara yake.
Back
Top Bottom