Protokali: Ni makosa Mkuu wa Wilaya kukaimu nafasi ya Mkuu wa Mkoa!

evangelical

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
4,897
7,960
Kwa Mara nyingine nashangaa ukiukwaji mkubwa za taratibu za kiutawala na kiongozi ambazo tumejiwekea.

Kiutaratibu ambao Upo na unaeleweka na ofisini ya rais tamisemi, nafasi ya mkuu wa Mkoa inapokuwa wazi inatakiwa ikaimiwe na mkuu wa mkoa, wa jirani na Sio mkuu wa wilaya.

TAMISEMI mmeamua kweli kuruhusu huu ukiukwaji wa taratibu uliofanyika kwenye sekretarieti ya Mkoa wa Dar es salaam Kwa nafasi ya mkuu wa Mkoa kukaimiwa na mkuu wa wilaya.

TAMISEMI Taratibu zinajulikana, kwa suala lolote lile mkuu wa mkoa anaomba ruhusa kwenu, na nyie ndio mnawaruhusu au kuwakatalia, na ofisini yenu ndio inatakiwa kuteua mkuu wa mkoa wa kukaimu nafasi hiyo. Kwani mnafahamu kwamba ipo wazi.

Na inajulikana wazi instruments za mkuu wa mkoa ni tofauti na instruments mkuu wa wilaya.

Taratibu hazikubali kwa DC kukaimu u RC au DAS kukaimu UDC, mapungufu Haya yapo nayashuhudia kwenye vyombo vya habari DC ni Naomi RC, na DAS kaimu DC
TAMISEMI wajibikeni. Simamieni miongozo

Ila I am sad to you,that you have been put under the him self
 
Mmmh

Unaandika kama unajua halafu hauyaandiki.

Kaa uzidi kuumia, ndivyo ilivyo.
 
Kuna madhara yoyote akikaimu mkuu wa wilaya??
Pia huwezi jua labda taratibu zimebadilishwa.
 
Kwa huyu Mkuu wa Mkoa wa Dar akiwepo au asiwepo there's no difference...!!

Sana sana wakazi wa Dar watakuwa wamefurahi kutokuwepo kwake kwani na MATAMKO yamepungua.
 
Kama itaratibu umekiukwa wahusika watumbuliwe mara moja kama ilivyo ada, sheria ni msumeno
 
Kwa Mara nyingine nashangaa ukiukwaji mkubwa za taratibu za kiutawala na kiongozi ambazo tumejiwekea.

Kiutaratibu ambao Upo na unaeleweka na ofisini ya rais tamisemi, nafasi ya mkuu wa Mkoa inapokuwa wazi inatakiwa ikaimiwe na mkuu wa mkoa, wa jirani na Sio mkuu wa wilaya.

TAMISEMI mmeamua kweli kuruhusu huu ukiukwaji wa taratibu uliofanyika kwenye sekretarieti ya Mkoa wa Dar es salaam Kwa nafasi ya mkuu wa Mkoa kukaimiwa na mkuu wa wilaya.

TAMISEMI Taratibu zinajulikana, kwa suala lolote lile mkuu wa mkoa anaomba ruhusa kwenu, na nyie ndio mnawaruhusu au kuwakatalia, na ofisini yenu ndio inatakiwa kuteua mkuu wa mkoa wa kukaimu nafasi hiyo. Kwani mnafahamu kwamba ipo wazi.

Na inajulikana wazi instruments za mkuu wa mkoa ni tofauti na instruments mkuu wa wilaya.

Taratibu hazikubali kwa DC kukaimu u RC au DAS kukaimu UDC, mapungufu Haya yapo nayashuhudia kwenye vyombo vya habari DC ni Naomi RC, na DAS kaimu DC
TAMISEMI wajibikeni. Simamieni miongozo

Ila I am sad to you,that you have been put under the him self
Awamu hii wajuvi mpo wengi sana.Tuoneshe taratibu au kifungu kipi kimekiukwa
Tangu enzi za Makamba,kuna wakati Athumani Mdoe alikuwa anakaimu,kuna haja gani kumtoa mkuu wa mkoa fulani aje kukaimu,kule alikotoka nani atakaimu.Tumia akili dada,sio kila kitu unapinga kuhalalisha hiyo laptop ya bure uliopewa
 
Back
Top Bottom