Recent content by farm 360

  1. farm 360

    Huyu mke wangu tatizo

    Pole sana bro, familia ni mume, ukisema big No hakuna wa kupinga, mueleze kistaarabu kuwa hao marafiki ndo wanaweza kuvunja hiyo familia asipoangalia. Mkeo kama anachukulia poa, ongea direct na rafiki ake/zake waambie hapo sio kituo cha kupokea wenye matatizo wakatafute sehemu nyingine. Kaza...
  2. farm 360

    Monduli: Natafuta shamba na eneo la kufugia

    Jambo wana JF, Mimi ni mjasiliamali natafuta shamba la kulima mwakani (masika) pamoja na eneo la kufugia mifugo yangu ikiwepo Mbuzi wa maziwa, nahitaji iwe katika maeneo ya Monduli eneo la Benett karibu na msitu au maeneo ya Monduli Juu. Kwa yeyote aliye na maeneo pande hizo anicheki DM...
  3. farm 360

    Imekuwaje Kiss FM kuanza kutumia Kiswahili?

    Daaaah hawa jamaa akina prof veep, tob, maliz the Dj walikuwa wanamwaga yai kama wamedondoka toka mbele, 2005 hiyo nipo Mwanza aaaaah usipime don't touch the door yoo!
  4. farm 360

    Lini msimu wa Kilimo cha Ufuta unaanza?

    Daaaaah, kwel nafwa na serikali yangu.! Mazao yepi hayajaingia kwenye mfumo huo, waweza niorodheshea please maana kwenye kilimo sikuwa aware sana na tozo za upanga bei za mazao. Hope mahindi na maharage ni soko huria bado havijaingizwa!
  5. farm 360

    Lini msimu wa Kilimo cha Ufuta unaanza?

    Wizard, what..! Oooooops Good news. Sikujua kama nalo Lipo kwa stakabadhi ghalani. Hebu niambie unanishauri nn, nisitie mbegu shambani? Anyway ngoja tuone comments zaidi!
  6. farm 360

    INAUZWA Nauza mashine ya kutengeneza siagi ya karanga bei poa

    Naomba nitumie kwenye whtspp nione ubora wake, namba yako whtsp , dm bt business has no dm
  7. farm 360

    Tunatengeneza na Kudesign logo, Business card, Websites Pamoja na Android Application

    Kazi nzuri sana, na ufafanuzi wa kina umetumia. Nimekuelewa sana ila mimi nipo darasani napambana na professional kozi ya Web design , database and Maintanance. Kwa ajili ya shughuli zangu za kilimo kidigital Pamoja sana
  8. farm 360

    Lini msimu wa Kilimo cha Ufuta unaanza?

    Habari wana JF, naomba kujua ni lini msimu rasmi wa kuanza kilimo cha Ufuta, nataraji kulima Ufuta maeneo ya Babati mkoani Manyara. Pia nahitaji ufafanuzi kwa wataalamu wa muda mrefu wa zao la ufuta katika vipengele hivi. 1. Je heka moja ya ufuta inatoa kiasi gani cha gunia au debe ngapi za...
  9. farm 360

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Naomba pia unipe darasa la ufuta ambao unalipa katika soko la kimataifa. Nasikia ufuta mweupe peeee ndo upo juu katika soko la nje. Nawezaje kupata mbegu yake au ni utaalamu upi unatumika kupata mbegu nyeupe isiyo na vidoti vyeusi. Naomba ufafanuzi na utaalamu kwa walio na uzoefu wa zao hili kwa...
Back
Top Bottom