Recent content by fareed623

  1. fareed623

    JamiiForums Tanzania Natafuta fursa ya ajira, kazi au part time job kwa wadau wa kilimo, biashara n.k.

    Kajaribu maana maelezo yanajitosheleza
  2. fareed623

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua chochote Dar es Salaam

    Kajaribu
  3. fareed623

    JamiiForums Tanzania Naombeni connection ya kazi

    Jaribu kuwacheki naona wako karibu na mitaa ya kwenu
  4. fareed623

    JamiiForums Tanzania Wenye ujuzi wa kazi za Call center

    Na zinakuacha na athari kubwa mda wote kichwa kinauma balaa na masikio usiseme
  5. fareed623

    JamiiForums Tanzania Wenye ujuzi wa kazi za Call center

    Kuna wachina wako pale jengo la SKY CITY karibu na mlimani city hapa Dar es Salaam, wanahusika na mikopo ya mtandaoni km pesa x, mkopo chap chap na kadhalika, wana vitengo viwili TRANSMARKET OFFICER NA COLLECTOR OFFICER Hiyo transmrmarket (mshahara ni 250,000 usipokuja wanakukata 8,000 na...
  6. fareed623

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    Ndio naanza kuudownload mzigo hapa ni enjoy kuucheki, mkuu nakushukuru sana aisee
  7. fareed623

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    Mkuu nakushukuru sana tena sana, ndio yenyewe hiyo hiyo, na sanamu nililokuwa nasema ndio hilo hapa
  8. fareed623

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    Wakuu samahani mie kuna series naitafuta nimeisahau jina, series yenyewe hizi kama game of thrones au viking yaani hizi za kupigania kingdom, episode ya mwisho inaonyesha kuna kingdom moja ilikuja kupigana wakashindwa kisha walio shinda wakafuata kule kwao wakawona wanaondoka lakini waliacha...
  9. fareed623

    JamiiForums Tanzania Nini Maana Ya 123KwH/year Kwenye Kifaa Cha Umeme(jokofu)

    Ninavyo jua hiyo 123kwh÷kwa siku 365=0.3369863014 Na ukiichukua hiyo ukazidisha kwa mwezi ambao ni siku 30 30×0.3369863014=10.01 Maana yake fridge lako linakula unit 10 kwa mwezi ukiliwasha bila kuzima. Yaani alimalizi umeme wa elfu 5 ule wa unit 14 kwa mwezi
  10. fareed623

    JamiiForums Tanzania BOT wamefungua dirisha la kuwekeza hati fungani

    Na hesabu yake inakuwa hii ya kawaida 15.49%×1,000,000=154,900 kwa mwaka ndio unapokea? Au kuna mahesabu yake mingine yanapigwa
  11. fareed623

    JamiiForums Tanzania Nafanya kazi ya kudesign graphics, ukinihitaji tafadhali nitafute

    Nimeikuta Twitter
  12. fareed623

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza TV

    Sijui uko wapi ila kuna fundi mzuri yuko tabata kimanga na bei zake za kawaida sana, mie tv yangu ilizingua hivyo hivyo ikazima fundi chapu katengeneza
  13. fareed623

    JamiiForums Tanzania Kuna anayetumia GB WhatsApp anipe mrejesho?

    WhatsApp mods ambayo ina strong ant ban ipi unayoijua? Share nami niidownloan maana hii og WhatsApp michosho
  14. fareed623

    JamiiForums Tanzania Mbona App yangu ya SMS imekuwa kama WhatsApp?

    Hii ni message application ipi?
Back
Top Bottom