Huyu dogo ametolewa kafara tu. Kwa kuangalia kwa haraka haraka, ni bwana mdogo tu wa miaka 23 ambaye hana uzoefu. Alikuwa anatekeleza amri za wakubwa wake tu za kumshughulikia Mwangosi and maybe he was just too overzealous or the gun openned fire by mistake kwani huenda alisahau kutoa kidole...
Kwanza, Edward Lowassa si Waziri Mkuu mstaafu. Ni Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond. Mawaziri wakuu wastaafu walio hai ni kina Cleopa David Msuya, Salim Ahmed Salim, John Malecela, Joseph Warioba na Frederick Sumaye. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuwa...
Huu ni upumbavu mtupu, tatizo la ajira kwa vijana kuwa ni time bomb ni jambo linalojulikana na kila mtu. Hata enzi za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa anazungumzia hili. Na CHADEMA wamekuwa mstari wa mbele kuzungumzia hili na wamekuwa wakiungwa mkono na vijana wengi. It doesnt take a...
Vyombo vya habari gani vya kumhoji Lowassa? Waandishi wa habari gani wa kufanya mdahalo na Lowassa wakati wahariri wengi tayari wako mfukoni mwa Lowassa? Hii itakuwa danganya toto tu! Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Absalom Kibanda, ambaye pia ni mhariri wa Tanzania Daima ni...
Ndio Lowassa ni hard working kwenye kufanya ufisadi, kwani haiwezekani kiongozi wa umma akajilimbikizia mali nyingi kiasi hiki kama yeye. Huyu Lowassa ni mwizi tu, na Tanzania ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere haihitaji viongozi fisadi. Mamluki wote mnaotumiwa kumsafisha Lowassa humu JF kamwe...
Hizi porojo zinaenezwa na kundi la mafisadi ndani ya CCM likiongozwa na Lowassa na Chenge, na wafuasi wao kama mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Shinyanga, Mgeja. Habari za kupikwa za Sitta kuhamia CHADEMA pia zilichapishwa na MwanaHALISI wiki hii kwa kichwa cha habari "Waziri wa JK kumkimbia...
PRIVATE PROSECUTION OF FORMER PM EDWARD LOWASSA
Umetoa wazo la maana sana mkuu. Kwa kuwa TAKUKURU hawawezi kumpeleka Lowassa mahakamani licha ya kuwa na ushahidi tosha dhidi yake for a water-tight criminal case (abuse of public office by hijacking tender process from TANESCO and awarding deal...
Mkuu hapo umemaliza, tungekuwa na TAKUKURU huru na jasiri ingewapeleka Lowassa na Chenge mahakamani leo. Watu kama hawa wala huwashitaki kwa corruption au bribery kwani ngumu kuthibitisha ingawa sote tunajua ni mafisadi. Wakipelekwa kwa criminal offences za abuse of public office na unexplained...
Lowassa ni mnafiki tu. Alipokuwa Waziri Mkuu alitengeneza ajira ngapi za vijana? Na alipokuwa waziri kwenye serikali ya Mkapa nini ulikuwa mchango wake kwa tatizo la ajira za vijana? Kwanza yeye ameliingiza taifa kwenye mkenge wa Richmond/Dowans na sasa taifa linatakiwa kulipa bilioni 70/- kwa...
....As for this Absalom Kibanda character, he is just a pawn. He has long been compromised by the forces of evil who have unleashed him along with other unethical journalists such as Saeed Kubenea of MwanaHalisi as their attack dogs against the courageous and highly respected Samuel Sitta. God...
Well said. Most of the so-called "Great Thinkers" in JF are so lame and so lazy that they just can't see the crystal clear difference between crap and BS and the truth. Samuel Sitta has repeatedly shown by his words and deeds that he is a very principled man, who will not take any crap from...
Nape anafanya kazi yake kama Katibu Mwenezi kwa ufasaha mkubwa. Amekuwa katibu mwenezi effective kuliko wote kwenye historia ya CCM kwa kipindi kifupi ambacho yupo pale. Anafanya kazi nzuri sana kupambana na mafisadi ndani ya CCM. Ni vita ngumu ambayo wenzake ndani ya CCM akiwemo Kikwete wote...
Kubenea kanunuliwa siku nyingi na mafisadi, ndio mabwana zake wapya. Hapo anamsalimia fisadi Lowassa kwa unyenyekevu kama mke amsalimiapo mume wake. Habari yenyewe ya wiki hii yenye kuhusu Richmond kumwandama Lowassa ni ya kinafiki. Ni danganya toto eti kutaka watu wadhani kuwa bado anaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.