MASIKITIKO
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 959
- 428
Katika hali ambayo ilijulikana na ambayo inaelezwa kukolezwa kwa kutokuwepo jawabu la kujivua gamba, ni wazi sasa Sitta na kundi lake katika kuwania urais mwaka 2015 wameanza harakati za kujiweka sawa na wana CDM ambao wanaamini wataweza kuwapigia upatu kujiunga na chakma hicho mwaka 2015 kama mambo hayatakuwa upande wao katika CCM.
Taarifa za karibu na mbunge wa Arusha Mjini CDM zinaeldeza kuwa, mbunge huyo alikutana na Sitta kabla ya Sitta kumwagia sifa huku Sitta akimuelezea kuwa anakubaliana naye katika hatua za kuufanya mkoa wa Arusha usitawalike kwa kuwa unampaka matope EL. Hata hivyo, Sitta aliambiwa na watu wa karibu na Mbunge Lema kuwa, Arusha ikibaki hivi ilivyo CDM watashinda kirahisi mwaka 2015 lakini Sitta asijihakikishie kuwa huo ndio utakuwa mtaji wake kuingia CDM kwa kuwa chama hicho kwa sasa kina vigogo wengi wenye ushawishi kuliko yeye Sitta. Hata hivyo kauli kutoka kwa kiongozi mmoja wa CCM ambaye yuko karibu na Waziri Mkuu MWANDISHI WA GAZETI LA JAMUHURI WEWE