Recent content by Fanuel Mazze

  1. Fanuel Mazze

    Hakuna mtanzania yoyote asiyejulikana ndani ya Tanzania

    Mbona unajichanganya. Kama watu wanafanya uhalifu bila kutambulika na kukamatwa, maana yake ni kuwa hakuna hata mmoja anayewajua ndiyo maana hakamatwi.
  2. Fanuel Mazze

    Kwanini Lema hakuwepo uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuwasilisha matatizo yanayoikabili Arusha?

    TAFAKARI HILI LABDA UTAPATA MAJIBU YA HOJA YAKO. Kiitifaki wabunge walitakiwa watambulishwe na kupewa nafasi ya kuongea na nani? Kwa nini wabunge waongee wakati mheshimiwa RAIS amesimama? Je wabunge wote wa mkoa wangekuwepo mheshimiwa angeruhusu waongee kama walivyoongea hao watatu...
  3. Fanuel Mazze

    Udikiteta Tanzania: Je, Rais Magufuli kweli ni dikiteta au wanamsingizia tu? Msikie Mwalimu Nyerere kuhusu udikiteta!

    Je unajua kuwa Nyerere alipiga marufuku vyama vingi mara tu baada ya uhuru ?
  4. Fanuel Mazze

    Serikali Mlichofanya kwa Walimu wa Sekondari si sahihi...

    Waandike barua za madai kwa kurejea vifungu katika sheria ya ajira na mahusiano kazini na au Kanuni za kudumu za utumishi wa umma.
  5. Fanuel Mazze

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Muda wa maongezi kuibiwa/kupotea ni tatizo sana ukiwauliza utapewa majibu ya ajabu...
  6. Fanuel Mazze

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wamakata sh.18.00 kila unapobonyeza *150*66#
  7. Fanuel Mazze

    Haki ya kujiunga na vyama vya wafanyakazi hususan walimu.

    Nafahamu vyama viwili vya walimu CWT na CHAKAMWATA. Je ni sawa CWT kuendelea kuchukua 2% kwa mwalimu ambaye amehamia CHAKAMWATA na kuidhinisha kwa fomu TUF 6 kuwa michango ielekezwe CHAKAMWATA. Mliohama CWT naomba mnisaidie kama mnaendelea kukatwa 2% kama ada ya uwakala.
  8. Fanuel Mazze

    Waislamu tuko upande wa Rais! Ya Kakobe mpelekeeni Kaisari

    Kila mtu akiwa na namba, zikianza kuhesabiwa hatimaye zamu yako itafika. Ninachoona mimi ni zamu kwa zamu.
  9. Fanuel Mazze

    Msaada wa shule za bei nafuu za bweni za mchanganyiko

    Njoo Mbozi mkoa wa Songwe kuna shule inaitwa NDYUDA.
  10. Fanuel Mazze

    Siko tayari kushuhudia kifo cha CHADEMA

    Ufafanuzi mzuri sana.
  11. Fanuel Mazze

    TAKUKURU kwanini mmeacha chama cha walimu(cwt),kiwanyonye walimu wetu?

    Tumia lugha nzuri. Wewe leo unaandika maneno haya kwa jinsi utakavyo na kusoma kila unalokutana nalo. Umesahau kuwa wao ndiwo waliokufundisha. Inawezekana una tatizo kubwa kichwani unaweza kumpiga hata mama yako.
  12. Fanuel Mazze

    Sheria inayompa mamlaka rais Magufuli kumuachia huru Babu Seya

    Imani potofu hiyo.Watoto wanajua sana kusema uongo siyo wa kuwaamini kwa kila jambo.
  13. Fanuel Mazze

    Unapompinga Rais Magufuli, unapinga yafuatayo

    Hili la elimu bure ____hapana halijakaa vizuri. Vyumba vya madarasa havitoshi,madawati ni ya kugombania.
Back
Top Bottom