Recent content by fantastic philip

  1. fantastic philip

    JamiiForums Tanzania Chalamila amepaniki mpaka anawatishia maisha wafanyabiashara, adai akiwachimba mkwara hawataamka tena

    Hela ya kulipa kodi kwa Kariakoo unayo mkuu
  2. fantastic philip

    JamiiForums Tanzania TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

    Hii ajali imetokea last week bus inaitwa lujiga ilkua inatokea dsm kwenda mwanza imepata ajali malendi nje kidogo ya singida
  3. fantastic philip

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Acha uongo hahaha meridian tena mechi ikianza hata option ya kuangalia mkeka wanafunga sasa cashout utaipata vipi
  4. fantastic philip

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Wale team BigFish kesho tuna kikao vita ni vitA
  5. fantastic philip

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Big popa baada ya kumshushia kipigo ndugu mollel
  6. fantastic philip

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Tatizo tecno
  7. fantastic philip

    JamiiForums Tanzania Tajiri mmoja wa Mabasi hutoa zaidi ya tsh. milioni 200 kwa mwaka kwa trafiki ili mabasi yake yawe barabarani

    Yah ni kwl iyo kitu inaitwa hela ya njia Kila kampuni inayo iyo bajeti ili kupunguza ukali wa faini za barabarani. Mfano Dar to mwanza ukitaka basi yako iwai kufika na isisumbuliwe na traffic andaa 100,000 kila siku Hii hela ni ushuru wa stand kila mkoa na kuwahonga traffic Yani kweny 80 km/h...
  8. fantastic philip

    JamiiForums Tanzania LATRA kwanini hakuna Ruti ya Kawe - Posta?

    Iyo ruti abiria wachache
  9. fantastic philip

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wauzaji wa simu muwe na huruma

    Ukitaka usifanyiwe uhuni chagua 1 mmoja wa kukuuzia hizo bidhaa ila wakijua Ww wa hit n run mzee kazi unayo
  10. fantastic philip

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wauzaji wa simu muwe na huruma

    Mliman city posta na maduka yote wote wana umoja mzee Na wananunua simu kkoo na kupeleka uko Wao kesi ni kitu cha kawaida
  11. fantastic philip

    JamiiForums Tanzania Dodoma: 12 wafariki na 63 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi la Frester kogongana na Lori

    Watu 12 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria la kampuni ya Frester lililokuwa likitoka Bukoba kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na Lori lenye shehena ya saruji. Ajali hiyo imetokea saa sita usiku wa kuamkia leo...
  12. fantastic philip

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Majambazi wenzake BIG wanamtetea kwa nguvu zote
  13. fantastic philip

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Sub katoka tarimo kaingia bembela maubwabwa
  14. fantastic philip

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Story mnataka Alf mnapingapinga kma vipi simulieni nyinyi maboya
Back
Top Bottom