Recent content by famad

  1. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitendo cha Manara kumpiga madongo ya wazi Barbara ni ukatili, binti wa watu almanusura azimie

    Dah! Wanaume tuko tofauti!! Kaongea Barbara, Senzo, Ahmed wote wamekwenda kwenye point hakuna mpasho, matusi wala majigambo ila Haji pekee ndo kaleta fyoko zake. Ivi umeshindwa kuona tofauti ya hao watatu na huyo unaemsifu?! Mwanaume unasifia mipasho kutoka kwa mwanaume mwenzio kwenda kwa...
  2. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sadio Mane wa Liverpool FC kuondoka

    Timu ipi yenye uhakika wa kesho pale EPL ukiacha liverpool na man city?
  3. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanayojiri kuelekea Fainali ya UEFA Champions League | Real Madrid vs Liverpool

    Acha ufala wewe, watu wenye mpira wao washasema ni offside na goli limekataliwa, wewe Ngarunyembe wa mkumbwanana unajua nini
  4. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Klopp anapewa Kocha bora wa ligi ikiwa wao sio mabingwa?

    Mh! Muongo
  5. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Klopp anapewa Kocha bora wa ligi ikiwa wao sio mabingwa?

    Tangu aiache dotmund imebeba ubingwa?
  6. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Klopp anapewa Kocha bora wa ligi ikiwa wao sio mabingwa?

    Total amount ya hela walionunuliwa hao jamaa ni Grealish mmoja tu!![emoji1787][emoji1787]
  7. F

    JamiiForums Tanzania Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

    Una uhakika? Ivi kila muarabu ni muislamu? Ivi kila shehe ni muislamu? Ivi kila mzungu ni kafiri?
  8. F

    JamiiForums Tanzania Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

    Pengine sijakuelwa. Me ninavojua hio jezi ya PSG anavaa km kawaida na huo mshahara anachukua kila wiki. Tatizo la Gueye kakataa jezi ambazo namba za mgongoni zina rangi za rainbow zenye kunasibishwa na ushoga.
  9. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga wamshitaki Barbara, Simba wamshitaki Manara

    Halafu utakuja sikia "ni utani wa jadi tu huo"
  10. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga wamshitaki Barbara, Simba wamshitaki Manara

    Bila shaka kuna harufu ya ubaguzi kwa hawa wenzetu wa bwawani
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo Rais Samia atapata upinzani mkubwa 2025

    Kwani 2025 anagombea
  12. F

    JamiiForums Tanzania Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

    Bila shaka mda wa tukio alikua form 6 na sasa yupo chuo
  13. F

    JamiiForums Tanzania Inaonesha sababu ya Putin kuishambulia Ukraine si kujiunga NATO

    Jiulize, kwa nini hao Sweden na Finland wametoa tamko kipaindi hiki cha urusi kuishambulia ukrane?
Back
Top Bottom