Dada wa USA kabla ya kurudi Tz na kuanzisha uhusiano mpya fikiria Mara mbili na jishibishe kwamba huyu jamaa anaweza akaa na wewe kwa shida na raha. Kwenda kwenu na mitego yako alionasua bado sio sababu ya kuonesha anaweza kukaa na wewe bila tabu.
Fikiria tena kabla haujaamua lolote.
Habari wadau?
Mie ni kijana nnaeanza ujasiliamali na nna fremu ya duka dogo sana ( kigoli) maeneo ya kkoo.
Sasa nimenda kufuatilia tin pale Lumumba leo na kabla ya makadirio naambiwa kodi mil 2 nauliza mbona kwa kuanzia ulikua ni laki 8, nikaulizwa uliambiwa na nani? Nikajibu niliuliza papa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.