Picha: Mwamunyange akiteta na Rais Magufuli

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,859
ImageUploadedByJamiiForums1453479678.046413.jpg

Hii picha imenifurahisha kitu kimoja,CDF kawa boss wa CINC kwa muda.Leo nyange kakalia kiti kwa muda
 
Kwann amevaa kombat lakini hana cheo ?yaani private. Huyu si amiri jeshi Mkuu? Naomba kueleweshwa tafadhari
 
Kwann amevaa kombat lakini hana cheo ?yaani private. Huyu si amiri jeshi Mkuu? Naomba kueleweshwa tafadhari
Kuna hiyo ya Kenyatta amevaa cheo cha commander- in -chief, lakini mimi nadhani ni kujikweza tu kwani vyeo vya kijeshi hujiviki bila kupitia mafunzo yanayostahili. Magufuli yuko sawa kabisa. Bado anatambulika ni commander-in-chief lbila hivyo vyeo. Kuna tofauti kati ya MILITARY APPOINTMENTS na MILITARY RANKS.
eg: Military appointments:



    • Commander in Chief of Defense Forces
    • Deputy Commander in Chief of Defense Forces
    • Commander in Chief (Army)
    • Adjutant General
    • Quartermaster General
    • Chiefs Bureau of Special Operation
    • Chief of Air Defense Forces

      eg: Military ranks
      1. Genaral
      2. Lieutenant Genaral
      3. Major Geraral​
 
Kama Magufuli alimpigia salute Mwamunyange bandiko lako litakuwa na maana lkn km ni kinyume chake basi Magufuli ndiye boss.
 
View attachment 318572
Hii picha imenifurahisha kitu kimoja,CDF kawa boss wa CINC kwa muda.Leo nyange ka
kalia kiti kwa muda
kwakosa hili lakujisahau nani hajui wajibu wake ?
Binafsi mi naona Mwamnyange na wazir, mnadhimu mkuu wa Jeshi wazili waulinzi wamejisahau.Nikosa kumvika gwanda tu Amiri mkuu wa majeshi wao wakiwa wameningiza Nyota
 
Waafrika Bwana kwa kujikweza hatujambo! Mbona hatuoni wenyewe wenye majeshi makubwa wale cic wakivaa makombati na hawapungukiwi kitu. Heshima yao inabaki pale pale...Kenyatta mpaka kajipa nyota tano!
 
Waafrika Bwana kwa kujikweza hatujambo! Mbona hatuoni wenyewe wenye majeshi makubwa wale cic wakivaa makombati na hawapungukiwi kitu. Heshima yao inabaki pale pale...Kenyatta mpaka kajipa nyota tano!
Mkuu nadhani ujui utendaji Wamejeshi
 
Mkuu nadhani ujui utendaji Wamejeshi
Wewe unayejua ebu nipe siku ambayo Obama au Waziri Mkuu wa uingereza ulimwona amevaa kombati. diyo Hivyo tu huko nyuma Nyerere, Mkapa, Mwinyi na hata Kikwete sikuwaona wameyavaa makombati wakati wa uongozi wao!
 
Back
Top Bottom