Recent content by faiz jr

  1. F

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    jogoo langu la kienyeji limeacha kuwika,je hilo linasababishwa na nini?
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    na mm pia naomba unitumie kwny email lastking9060@yahoo.com
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mtoto kuanza kucheza tumboni

    mtoto huanza kujinyoosha akiwa na miezi mingapi?
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    kweli kabsa mama joe atutajie atapatikana wapi au atuwekee mawasiliano
  5. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kuku wa kienyeji pure

    majike 10
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    kuku kuchi wakubwa wanauzwa bei gani?
  7. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kuku wa kienyeji pure

    natafuta kuku wa kienyeji pure sio chotara,wawe makoo wakubwa tayari ambao washafika umri wa kutaga
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosoma Bagamoyo Secondary School

    anaezikumbuka vurugu za shule azitaje,,,,,,km mm nilishuhudia stone war ilipigwa savana,vita nyngn ni fom 6 vs fom5 o level ikaungana na fom5 daah fom 6 wakasalenda,vita nyngn tulienda kucheza mpira nia njema likatokea vurugu bas njian wkt tunarud ikawa yeyote tunaejiskia tunamvamia mwisho wa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    ukijenga banda la mbwa pembeni ya banda la kuku wa kienyeji kuna madhara yoyote? yaan mbwa ana vijidudu ambavyo vinaweza kuleta athari kwa kuku?
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    warefu wakubwa wana miguu mirefu midomo mifupi ni kuku warefu kuliko wote kwa tanzania hapa
  11. F

    JamiiForums Tanzania kuku kuchi

    kuchi ni wakubwa warefu wana miguu mirefu,hao ulioneshwa inawezekana ikawa sio kuchi
  12. F

    JamiiForums Tanzania whatsapp inagoma kudownlod pic vdeo nifanye nin?

    naomba msaada kwa mwenye ujuz,whatsapp yangu inagoma kudownlod pic,vdeo pia hata kutuma haitak,nimejaribu ku uninstall nilipoingia playstore nilipotaka kuichukua watsapp tena ikaniandikia device yangu haina uwezo wa kutumia whatsapp wakati mwanzo ilikuepo,nikaingia kwny website moja nkaikuta...
  13. F

    JamiiForums Tanzania natafuta shule za o level za private

    mwanafunzi wa kiume
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosoma Bagamoyo Secondary School

    mnamkumbuka kitungwa?
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosoma Bagamoyo Secondary School

    hiyo nilikua fom2 naikumbuka hyo
Back
Top Bottom