Haya mimi napita tu vilaza wa bwagamoyo
Nlipiga pale advance 04-06.. Sitasahau vurugu zetu na FFU tukaitiwa mkuu wa Wilaya kipind icho Hawa ngulume (RIP), Mkuu Usalama wa Taifa Wilaya, na Maofisa Polisi Wilaya tukapakiwa kwenye mabas ya mkoa ya kukodiwa suspended for 2 weeks tukashushwa Mwenge mtajijua pa kwenda. Waliobaki shulen mda wa kulala kumi na mbili jion.
mnamkumbuka kitungwa?
we pita tu,endelea kupita mpaka ufike vingungutiHaya mimi napita tu vilaza wa bwagamoyo
Nlipiga pale advance 04-06.. Sitasahau vurugu zetu na FFU tukaitiwa mkuu wa Wilaya kipind icho Hawa ngulume (RIP), Mkuu Usalama wa Taifa Wilaya, na Maofisa Polisi Wilaya tukapakiwa kwenye mabas ya mkoa ya kukodiwa suspended for 2 weeks tukashushwa Mwenge mtajijua pa kwenda. Waliobaki shulen mda wa kulala kumi na mbili jion.
Mwambaja alikua sec master kabla hajaamishwa nakumbuka alinidaka town sina uniform alinitupia punch za ukweli nikala kona jamaa alikuga mbabe halafu pande la mtu.
jamaa alishatangulia mbele ya haki
magambani.
mnamkumbuka kitungwa?