whatsapp inagoma kudownlod pic vdeo nifanye nin?

whatsapp inagoma kudownlod pic vdeo nifanye nin?

faiz jr

Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
31
Reaction score
3
naomba msaada kwa mwenye ujuz,whatsapp yangu inagoma kudownlod pic,vdeo pia hata kutuma haitak,nimejaribu ku uninstall nilipoingia playstore nilipotaka kuichukua watsapp tena ikaniandikia device yangu haina uwezo wa kutumia whatsapp wakati mwanzo ilikuepo,nikaingia kwny website moja nkaikuta nikaidownlod ikakubali lakini tatzo la kushindwa kudownlod pic,video bado lipo,NAOMBA MSAADA WANA JF
 
Back
Top Bottom