Recent content by faiman120

  1. F

    Rais John Magufuli Afanya Mazungumzo Na Shein Leo Ikulu

    bora umuulize maana huyu anaonesha wazi wazi chuki zake na visiwani,
  2. F

    Hatimaye Vikosi vya JWTZ vyaanza kuondoka Zanzibar

    Wewe una chuki na Zanzibar na wazanzibar, watu walikua wanaishi kwa khofu na wasiwasi na hivyo vikosi kuondoka ili watu waendelee na shughuli zao za kiuchumi na kujikwamua na umaskini wewe kumbe mwenzetu unaoneka haupendi na imekuchoma sana, vile visiwa kaviumba ALLAH na yeye pekee wa kuvilinda...
  3. F

    Wazanzibar watajwa Wizara ya Fedha, Elimu

    Unaonaje ukamuandikia Jpm barua kwa mawazo yako wasipewe hata moja,ila kwenye Muungano unawataka sana ila kwenye mgao hawafai,chuki zako bure kabisa hazitaondoa vile visiwa
  4. F

    Wazanzibar watajwa Wizara ya Fedha, Elimu

    jadili mada sio kurekebishana kiswahili nadhani wewe ndo hujui kabisa RAFUDHI ndio kiswahili gani
  5. F

    Wazanzibar watajwa Wizara ya Fedha, Elimu

    Alaa kumbe ndo ule msemo kua Baniani mbaya ila kiatu chake dawa, si ndo nyie mmewang'ang'ania leo mnawazarau, mara mdebwedo mara wamezubaa, mara sio watendaje wazuri, Acheni Zarau nao wana haki yao kikatiba na kisheria kuwakilisha kama sehemu ya Muungano, wenyewe wakidai haki zao mnawaona...
  6. F

    Wazanzibar watajwa Wizara ya Fedha, Elimu

    kakuambia nani? Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, chuki hazitasaidia, Mmetaka Muungano kwaio pia mkubali na uwakilishi wa washirika
  7. F

    Mchague Maalim Seif sharif Hamad atupeleke Umoja wa Mataifa

    Ukiona mtu anatukana tuu ujue kaishiwa na hoja, lakini anaonesha hisia zake za chuki dhidi ya wapemba ila mimi namtaarifu tu ya kwamba Pemba itabakia kua Pemba na wapemba watabakia kua Wapemba chuki zake na matusi ni bure anatwanga maji kwenye kinu ,pole yake kama wanakuchoma vumilia tu coz...
  8. F

    Zanzibar tunaitaka nafasi ya Waziri Mkuu 2015 tumechoka kuonewa

    Tuacheni zarau, Hakuna Tanzania bila Zanzibar,
  9. F

    Mwanga mkali mithili ya radi wazua hofu kwa wakazi wa pwani ya bahari ya Hindi!

    hahahaha! mkuu umevurugwa coment yako haiendani na mada
  10. F

    Mwanga mkali mithili ya radi wazua hofu kwa wakazi wa pwani ya bahari ya Hindi!

    jamani sio utani hii hali imetia mtafaruku na wasi wasi mkubwa na naskia hali ya bahari imechafuka na mawimbi ni makubwa sana kwio tujuzane walio karibu na bahari
  11. F

    Nifahamisheni umuhimu/madhara ya muungano wa serikali mbili na madhala ya muungano wa serikali tatu.

    sasa huo uchochezi maana kuwaambia WaZanZIBARI wavunje katiba yao ni kuleta vurugu visiwani na laZima iwe kwa kura ya maoni jambo ambalo hata wangekua watanganyika wasingekubali wajipunguZie madaraka na mamlaka
  12. F

    Jinsi simu za touch screen zinavyotupa tabu kuandika texts

    Vipi rafki yangu Z.spice uko wapi mwanangu ukumbi skuZI umechafuka sana skuiZI wadau wanauponda Muungano tuu wengine wanadai Tanganyika irudi , wengine zenji mamlaka yani mpaka najiuliza huyu mtani skuiZi yuko akatupa alau ushauri na maoni yake
  13. F

    Kwa wanaodai Tanganyika yao wasau angalia matokeo ya wenye viti wa kamati za bunge wote ni wa ccm

    Nimeskia kule zanzibar kuna plan B ila sijaijua ni ipi ila kwa tanganyika sijui
  14. F

    Kwa wanaodai Tanganyika yao wasau angalia matokeo ya wenye viti wa kamati za bunge wote ni wa ccm

    Sasa ni dhahiri kua serikali 2 zimewashiwa taa ya kijani na haziepukiki kwa wenye viti wote ni wale wanaotetea serikali 2 Matokeo yanaonesha katika kamati 14 basi 12 wameshinda ccm kama ifuatavyo:- christopher o Selendeka, Steven Wasira, Anna Malecela, Job Ndugai, kidawa Haamid, Shamsi Vuai...
  15. F

    shindano la utenzi wa wimbo wa taifa wa Tanganyika.

    Mawazo yako ni sawa na kumnunulia nguo mtoto ambae bado yupo tumboni kwa maana haujajua kua atakua hai au mzima, atakua wa kike au wakiume" sasa hio Tanganyika yenyewe Raisi ameshasema kama mnataka tanganyika msubiri yeye atoke madarakani sasa wewe unaanza na wimbo wa taifa duh ndugu yangu...
Back
Top Bottom