Rais John Magufuli Afanya Mazungumzo Na Shein Leo Ikulu

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,388
24,947
‪Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es salaam.



44353c8c452a8cee22f5a1594b088441.jpg




Chanzo : ITV
 
Msitake kumlazimisha madaraka mzee wetu mukamuuwa kwa presha. Let him give up power in peace. "The lives of fellow citizens are worth more than ones political ambition" by J. GOODLUCK
 
JPM aki ongea jana kanisani wakati wa sherehe za Christmas alisema hatokubali kuona wanakoseshwa misaada na kuzuiwa safari za nje kwa sababu ya Uchaguzi wa Zanzibar. Akiahidi ndani kanisani kulimaliza tatizo hilo kwa kufanya haki.

Cha kustajaabisha vijigazeti vya kibongo kama kawaida yao kwa stori ni muhimu ni zile za umbea umbea na kujipendekeza.
Hii ndo ilikua habari kuu ya Chtistmas lakini wakaipuuza...ndo maana kama sio tenda na matangazo sinunuagi vigazeti hivi...
 
Hivi Shein akiswali maombi yake yanafika?

siyo yeye tu! Hata viongoz wote waliyoiba kura na kuwa washndi maombi yao Mungu hayapokei, Nashangaa hata hapa Tanganyika viongoz wa dini wanasema tumwombee wa kwetu wakat ushnd ni figisufigisu, Mungu hugeuza Maombi kuwa laana, trust me hasira za Mungu zitawashukia viongoz wote ambao wamepata uongoz kwa njia ya shetan!!
 
Tuambiwe basi wameongea nini, sio tunaletewa tu story za wao kukutana.
 
Kwa magufuli kila goti litapigwa yatakwisha tu kwenye busara hakuna kinachoshindikana twende kazi wazee.
 
Back
Top Bottom