Recent content by faidah

  1. faidah

    JamiiForums Tanzania Asante Magufuli, sasa umetukumbuka Rungwe, Mbeya

    Mgufuli ni jembe sana.
  2. faidah

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea huko Kusini sio ununuzi wa korosho ni unyama na unyang'anyi dhidi ya wakulima pamoja na wafanyabiashara wa ndani wa zao la korosho

    Mimi naona mkulima anapewa haki yake ambayo alikuwa akiikosa siku nyingi. Yaan mkulima amekuwa akilima lakini wanaofaidika ni wafanyabiashara wasiojua hata kushika jembe.
  3. faidah

    JamiiForums Tanzania Kukengeuka kwa baadhi ya wanasiasa nchini

    Hata kama wanaona lakini vipi maneno wanayo yasema hao unaowatetea, mfano kuunga mkono ushoga na kufurahia nchi yetu inapositishiwa misaada.
  4. faidah

    JamiiForums Tanzania Kukengeuka kwa baadhi ya wanasiasa nchini

    Wew utakuwa siyo mtanzania...maana kuongea kwako unaonekana utaumia sana nchi yetu ikianza kuwa ni ya kutoa misaada. Natamani niijue nchi yako.
  5. faidah

    JamiiForums Tanzania Kukengeuka kwa baadhi ya wanasiasa nchini

    Ahsante, huo ndiyo upendo.. aisee ujumbe mzuri sana kwa wananchi ambao mbele kwanza maslahi ya taifa kuliko taifa lingine lolote.
  6. faidah

    JamiiForums Tanzania Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha za kigeni(Forex) yasimamiwa na JWTZ, wananchi watakiwa kwenda Benki Kuu

    mtaelewa baadae kinachoendelea Mkoani Arusha kwa sasa ni ngumu kuelewa.
  7. faidah

    JamiiForums Tanzania Seriously wapinzani ondokeni kwenye siasa za kitoto

    Wapinzani Tanzania wamekariri siasa za kushutumiana wanasahau kujenga hoja za maendeleo ama kwa kwafahamu wanachokifanya kwa kudhamiria kuichafua tu serikali iliyopo madarakani au kwa kutofahamu hasara watakayoipata wapiga kura wao kwa kutumia muda wao bila faida ya kuwaletea maendeleo
  8. faidah

    JamiiForums Tanzania Sweden: Tanzania's ambassador, Dr. Slaa called to the Foreign Ministry for a reprimand

    Tanzania ni nchi huru mataifa ya magharibi hayapaswi kuingilia maswala ya ndani ya nchi yetu. Kama ni ushoga wafanye wao kwenye nchi zao Watanzania sio vilaza
  9. faidah

    JamiiForums Tanzania Tanzanian cashew price hike could lead to global shortage, traders say

    NAIROBI (Reuters) - Tanzania's plan to buy the country's entire 2018 cashew nut crop could lead to a global shortage, with processors in Vietnam and India likely to be hit first, traders said. President John Magufuli has ordered a 94 percent increase to cashew nut prices to protect farmers from...
  10. faidah

    JamiiForums Tanzania Tanzanian cashew price hike could lead to global shortage, traders say

    NAIROBI (Reuters) - Tanzania's plan to buy the country's entire 2018 cashew nut crop could lead to a global shortage, with processors in Vietnam and India likely to be hit first, traders said. President John Magufuli has ordered a 94 percent increase to cashew nut prices to protect farmers from...
  11. faidah

    JamiiForums Tanzania Serikali ichunguze shule ya wasichana Loreto Mwanza

    Ni shule ya Serikali au private? Ni lazima mwanao asome hapo? Kama hapafai beba mwanao hamishia shule nyingine mbona shule zipo nyingi tu siyo kila kitu mpaka serikali ifanye.
  12. faidah

    JamiiForums Tanzania President Magufili's visions and investment

    President Magufuli launching the SGR last year. Railway trasport is the second most important mode of transport after road and critical for long distance freight along the main trasport corridors in the East Africa’s fastest gworing economy, Tanzania. By considering so, the reformist...
  13. faidah

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa CPJ: Tulitekwa na Maafisa Usalama, tukaulizwa kuhusu Azory Gwanda, Maxence Melo wa JamiiForums...

    Mambo mengine hayahitaji kuwa na elimu ya chuo kikuu,watu wangapi wananaingia nchini bila shida yoyote wakamatwe wao tu,hao maafisa wa uhamiaji ni wendawazimu mpaka kumkamata mtu bila sababu
  14. faidah

    JamiiForums Tanzania Kungekuwa na mamlaka inayoweza kumtumbua Rais, basi Magufuli angekuwa kashatumbuliwa mapemaa!

    na bora kakataa mambo ya katiba mpya kwa hali ilivyokuwa na mambo anayoyafanya hata akikaa madarakani mpaka 2050 freshiii tu watu walijisahau sana
Back
Top Bottom