Wew utakuwa siyo mtanzania...maana kuongea kwako unaonekana utaumia sana nchi yetu ikianza kuwa ni ya kutoa misaada. Natamani niijue nchi yako.Si mlisema sisi ni donor country mumeanza na nyie tena kulilia misaada transformation ya miaka mitatu haijatosha kujaza chungu NAAMINI HAMNA DHAMIRA YA MAENDELEO NIA YENU NI VISASI NA MAUJI NI WATU GANI MNATAKA SIFA TUU shame on u
Hata kama wanaona lakini vipi maneno wanayo yasema hao unaowatetea, mfano kuunga mkono ushoga na kufurahia nchi yetu inapositishiwa misaada.Hizi makala za kijarida cha musiba, tanzanite, ni propaganda za kijinga sana.
WB, EU, nk wana ofisi zao Tz. Hv unafikiri hawaoni uovu unaofanywa na ccm mpaka Zzk aende makwao kuwaambia??
Mbona huongelei maovu ya watawala: utekaji, mauaji, wizi, uonevu, ukiukaji wa katiba, ubaguzi wa kiitikadi, kukosekana kwa haki hasa kny chaguzi matokeo yake wananchi wanalazimika kuwakilishwa na watu wasio chaguo lao, nk.. Baadhì ya haya mambo ndo yalipelekea akina Nyerere kupigania uhuru, sasa mmeyarejesha tena!
Kweli mbaazi ukikosa maua husingizia jua
Umeipata wapi imani ya watu kununulika inawezekana wew ndo utakuwa umenunuliwa na hao unaowatetea sasa unadhani hata hao wameshanunuliwa kama wewe. Pole sana kwa kutumikaNafikiri kabla hujamuuliza zito,jiulize kwanza ww uzalendo wako upo wapi kwa kushindwa kumuuliza huyo jiwe unaemtetea kuhusu mambo ya hovyo anayoyafanya kama vile kununua wabunge na madiwani na kurudia chaguzi kila siku kwa garama nyingi na kubwa wakati nchi ni masikini kupindukia.ukiweza kumuuliza huyo jiwe unaejipendekeza kwake ndio umuulize zito hicho ulichomuuliza.
Hizi makala za kijarida cha musiba, tanzanite, ni propaganda za kijinga sana.
WB, EU, nk wana ofisi zao Tz. Hv unafikiri hawaoni uovu unaofanywa na ccm mpaka Zzk aende makwao kuwaambia??
Mbona huongelei maovu ya watawala: utekaji, mauaji, wizi, uonevu, ukiukaji wa katiba, ubaguzi wa kiitikadi, kukosekana kwa haki hasa kny chaguzi matokeo yake wananchi wanalazimika kuwakilishwa na watu wasio chaguo lao, nk.. Baadhì ya haya mambo ndo yalipelekea akina Nyerere kupigania uhuru, sasa mmeyarejesha tena!
Kweli mbaazi ukikosa maua husingizia jua
Umeipata wapi imani ya watu kununulika inawezekana wew ndo utakuwa umenunuliwa na hao unaowatetea sasa unadhani hata hao wameshanunuliwa kama wewe. Pole sana kwa kutumika
Hebu kalale ukueView attachment 943246