CalvinKimaro
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 244
- 312
Siasa za kitoto hazitafanya mfike Canan!
Kikao cha bunge kinachoendelea Dodoma ni ushahidi wa siasa zenu za kitoto mno! Huenda ni kweli mlikuwa na kikao mkaamua eti muvuruge kikao cha bunge! Huenda ni kweli mtatoka nje kabla ya kikao hiki kufungwa! Kama ndivyo basi utoto wenu umekithiri.
Yeyote aliyemsikiliza Sugu, Heche, Zitto, Bwege na wengineo atauona ukweli huu. Sijui nani amewadanganya haya ndiyo wapiga kura wanataka k...uyasikia?
Hebu tumchukulie Heche. Hata baada ya kutaarifiwa anatumia muda wake hovyo badala ya kujikita kuichambua taarifa ya waziri Wa fedha alishupalia "serikali inayojisifu kukusanya kuliko zoote"!!!
Sugu ndio hata hajui kwa nini yuko bungeni! Kashupalia kumkashifu MTU asiyepo bungeni. Anapinga vita dhidi ya mashoga katika mjadala wa waziri wa fedha na mipango! Ni kama hakujua nini kinajadiliwa! Wana Wa Mbeya mnavuna mlichopanda!
Ukija kwa bwege yeye mahoka! Hajui kinachojadiliwa! Eti kazi ya akili ni mhili tu! Kujua ukweli na uongo! Yaani kwake kujua wananchi watapata umeme na huduma za jamii sio kazi ya akili! Akamalizia kwa kudai alifuatwa anunuliwe!
Ndipo spika akaona amalize uke ujinga! Akamuonya je akitakiwa ushahidi atatoa! Bwege akasinyaa. Hivi wanaomchagua MTU sampuli hii wao wakoje?
Ndipo akaja Zitto Kabwe! Yeye haulizi kuhusu mipango jimboni make! Yeye anaulizia kesi! Sijui wananchi waliomchagua walimtuma?
Nakubaliana na waziri kuwa katumwa! Lakini sio na wananchi wa jimboni mwake! Hata alipoambiwa serikali haiwezi kutegwa bado alimgeukia mwenzake na kumwambia " kashtuka"!! Kama kweli alitega basis huyu ni mbunge asiyefaa kabisa. Mwaka 2020 asirejee.
Wananchi Wa jimboni lake waliondolee taifa mamluki huyu.
Lakini jambo moja limejitokeza dhahiri. Spika na Naibu wake wasipokuwa kitini bunge linayumba. Mfano mzuri ni pale Sugu alipokiuka kanuni na kugeuza bunge kivuli cha kutukana MTU asiyepo bungeni. Licha ya kina Jenista Mhagama kuingilia kati aliyekuwepo kitini alishindwa kusimamia kanuni.
Ilikuwa Sugu apelekwe kwenye kamati ya nidhamu na maadili. Kulikuwa na wabunge wakizomea hovyo ukumbini bila hata kuonywa. Ni vyema spika NA Naibu wake wawapige semina "wenyeviti"!.
Anayeshindwa kusimamia kanuni asipewe kiti!