Recent content by fahim

  1. F

    JamiiForums Tanzania Vijana 3 toka Geita waachiwa huru

    ambaye hajawahi kufanya ngono aweke picha yake tumuone!
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    mmh!,only hrp(human resource planning) au both i.e rp(resources planning)?
  3. F

    JamiiForums Tanzania Ulevi wa Kina Tibaijuka, Werema na Wenzao Hauondoki Isipokuwa kwa Pingu na...

    Wambie maana mi nashindwa kuwaelewa wadanganyika!,hv unawezaje kusema mama tiba ajiuzulu waziri ambaye wizara yake haina uhusiano wowote na sakata la escrow ukamuacha mtendaji mkuu wa serikali?.Eti leo hi mheshimiwa haongelewi kabsaaa!,kwa uelewa na usahaulifu huu wa wadanganyika tutazidi...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Prof. Anna Tibaijuka atolea Ufafanuzi sakata la Escrow, agoma Kujiuzulu

    Hebu google hapa kajumulo world soccer
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    Ndio kuna wasomi tena ambao wanajua lugha yao kama mleta mada aliyeandika "ilekebishwe" huku akihoji usomi wa mtu!
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mbatia achangia milioni 200/- ujenzi wa shule

    Kwani Tibaijuka na jr sio marafiki?
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

    Sasa kwa mujibu wa chahali kwa umri huo mafunzo yao utayaweza kweli?
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

    Nimekuelewa mkuu,shukran!
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

    Haijalishi kiko wapi?,nafasi zinapatikanaje?,mi naomba kujua huwa wanajiunga lini? Na mafunzo ni muda gani?
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

    Hivi hao jamaa huwa wanaanza lini chuo na mafunzo yao yanachukua muda gani?,
  11. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naweza kutumia Whatsapp kwenye Nokia Asha 200 ?

    Je! ni kweli nokia asha 200 inasupot whatsapp? Kama ni kweli naweza iwekaje? Naomba msaada wa njia rahisi.
  12. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti: maoni ya wananchi juu ya uvaaji nusu uchi kwa wanawake

    Dah! Mkuu,umeua kabsaaaaaa
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kwa nini JKT wanafanya hivi?

    Wambie!, maana wanadhani jkt ni kama jw,usalama,police au magereza hawajui kua uktoka jkt unaanza kusotea hizo chances nyingine na kuna kupata na kukosa!,bora nikae mtaani niuzoee tu!.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka: Nimepokea Bilioni ya Mbia wa IPTL! Malipo yalisimamiwa na BoT

    Nakupa like!,mleta mada amekuja speed nikadhan leo ameanza kufikiri yeye kama yeye kumbe bado anatawaliwa na fikra mfu,
  15. F

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka: Nimepokea Bilioni ya Mbia wa IPTL! Malipo yalisimamiwa na BoT

    Kwa mtazamo huu naona mtaanza kuwatafuta hata malaya na watu wote waliopewa ofa baa na jr!
Back
Top Bottom