Kingunge mnafiki, Lowassa kaenguliwa na CCM Miezi minne iliyopita anakuja kujitoa leo! Kwa akili yake anadhani atasababisha hofu ndani ya CCM, wapi Bwana Mbona UVCCM walimtimua bila kujali makunyanzi. Anadai anataka mabadiliko, lakini endapo Lowassa angepitishwa na CCM asingejitoa.
Hana...
Badala ya kutangaza sera wana subiri za CCM kisha wana kopi na kupesti, CCM wako sema hiki . Kesho yake Ukawa wana modify ahadi hiyo hiyo, hawana Ilani, mgombea anasema vikaratasi vya kuandikiwa.
T.B Joshua all itabidi lini kwa ushahidi gani kuwa Lowassa atakuwa Rais? Msimhusishe mtu wa Mungu katika siasa zenu chafu, na mkiendelea kufanya hivyo Mungu atawaadhibu.
Kala pesa ya Lowassa tangu mchakato wa CCM akimuahidi ange tumia ushawishi wake ili apitishwe lakini mtu wake akapigiwa chini. Kitendo cha kutangaza leo kujitoa CCM ni cha kukurupuka ili kufunika suala la Kifo cha Mchungaji Mtikila ili watu wazungumzie yeye, kwa vile tayari mitandao inaihusisha...

Nchi hii ina rundo kwa mazuzu, hivi kweli mtu mwenye akili zake anaweza kuamini kuwa Sumaye ni mpenda mabadiliko? Huyu aliyeitwa Zero! Muulizeni ataleta mabadiliko yapi ili na sisi wengine tushawishike. Sumaye ana rekodi ya kuwa Waziri Mkuu aliyekaa madarakani kuliko yeyote, lakini Hana chochote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.