yurickzuberi
Member
- Aug 14, 2015
- 32
- 4
Wanawashwa hawa moto walowasha ushawatoa ngeu
Wamekubali kushindwa muda mrefu 2ila wanajifanya vichwa ngumu lakini October co mbali wata2lia 2
Badala ya kutangaza sera wana subiri za CCM kisha wana kopi na kupesti, CCM wako sema hiki . Kesho yake Ukawa wana modify ahadi hiyo hiyo, hawana Ilani, mgombea anasema vikaratasi vya kuandikiwa.
Nilicho jifunza siasa za tz. Watu wa nafuata mtu. Kinguge kaamua kumfuata aliye kuwa anamsapoti el na sio sera za chama.