Uso kwa Uso na Mtikila- Akataa Hongo ya Millioni 100!

R.I.P. kwa jitihada za kuboresha demokrasia yetu kupitia kesi mbalimbali. (though he has been currently running well in a wrong track).

Kifo cha Mtikila Mbona kinafanana na kile cha Mh. Chacha Wangwe? Usije ikawa wataalam walewale wamehusika!
 
Huyu bwana ( marehem) tulikutana naye sehemu alipogundua sisi ni wa imani Fulani kutokana na mavazi yetu pale pale alibadili mazungumzo na kuanza kuikashfu dini yangu kwa maneno ya kuudhi nilipotaka kumjibu wenzangu walinizuia kumbe alikuwa na mwandishi wa habari hivyo alitaka ajibiwe ili atoke gazetini nilimchukia sana tena sana. Baada ya kusikia taarifa ya kifo chake nimemsamehe kabisa huenda huko ataelewa ipi ilikuwa dini ya haki kati ya ile aliyoikashfu au hiyo yake
 
Katika thread yako, Mtikila alikuwa anazungumzia vifo vya kutengenezwa kwa ajali, yeye pia amewindwa na hadi sasa anayemuwinda hajaonesha kuwa walifikia muafaka!
Amekufa kwenye ajali!
Inastaajabisha lakini ndivyo majaribu yalivyo, inawezekana kabisa ni accident 100% lkn it worth kuchunguzwa ili kumake sure that no stone left unturned!
Kwenye vifo vya aina yake ni muhimu kuacha kila mtu ameridhika na aina ya kifo kilichomkuta!
 
Katika pita pita zangu mchana wa leo jiji Dar es Salaam,

Nimekutana na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila katika ofisi fulani, yeye kaja na yake, nami na yangu hivyo tukaa waiting room pamoja kumsubiria mwenyeji wetu.
huwezi amini alinichangamkia sana na tukaanza kuchat.

Kwanza nilimuuliza kwa nini wapinzani hawaungani?.
Jamaa alishusha nondo nzito kwa kubonda wapinzani wote kuwa Tanzania, hakuna mpinzani yoyote isipokuwa ni yeye tuu!, tena kuhusu Chadema, ndio usiseme kabisa, eti ni afadhali ya CCM!. Alisema mengi kwa lugha kali na matukano kibao, huku akizungumza kwa sauti ya juu, ofisini kwa watu!.

Nikamsisitizia, kwa vile chama tawala ni CCM, vingine vyote ni upinzani, jee haoni kuikandia Chadema na CUF at this time ya kuelekea uchaguzi mkuu ni kuikampenia CCM kwa mlango wa nyuma?, au ameshikishwa kidogo dogo?!.

Jamaa aliwaka sana akasema CCM imshikishe nani pesa, hapa nilipo, japo sina pesa ila nimekataa hongo ya milioni 100! toka kwa ....(akamtaja jina....) naomba nilihifadhi ili kuilinda hadhi ya JF, maana huyu mtu kwa JF, ni "mtakatifu fulani" sana humu jf, na ni mmoja wa waheshimiwa wetu kitaifa, hivyo anaheshimiwa sana tuu humu jf!

"Niligundua kuwa ... (akamtaja) ni muuaji, anatoa pesa kutuma assasins kutekeleza mauaji mbali mbali na kisha kufake accidents!, alitoa shilingi milioni 120 kuwapa Wakenya fulani wawili kumuua ...(akamtaja..), ushahidi ninao!.

Mtikila akaendelea kudai kuwa, Mfanyabiashara huyo tajiri alipomgundua siri yake ya mauaji imefichuka, kwanza alimuita kwenye(Mtikila) kwenye moja ya vitega uchumi vyake (akataja siku, muda na mahali) akampa offer ya hongo ya Sh. Millioni 10 ili afute jina lake kwenye dossier ya wauaji. Mtikila akamkatalia.( Akimaanisha analo andiko hilo la mauaji!).

Mara ya pili (tajiri) huyo alimuita ofisini kwake, (akataja siku, muda na osisi ilipo!) akapanda dau toka ile milioni 10! mpaka milioni 50!, bado Mtikila alizikataa!. Ndipo tajiri huyo akamuita Mtikila nyumbani kwake (akataja siku, muda na eneo nyumba ilipo!) akampa offer ya Sh. Millioni 100!. Ndipo Mtikila alimkubalia kwa shurti ya tajiri huyo, kwanza ampigie magoti yeye Mtikila na akiri dhambi zake, na pili atubu kwa Mungu, Mungu akishamsamehe ndipo yeye Mtikila, ataipokea hiyo pesa kama asante yake!.
.
Tajiri akagoma kukiri na akagoma kutubu!. Ndipo Mtikila akasimama akatoka nje!, ila anadai kila kitu amerekodi kwenye digital sound recorder yake, na sasa anasubiri tuu time muafaka ili amlipue!.

Na baada ya maelezo yote haya ya kukataa hongo ya milioni 100!, Mchungaji Mtikila alimalizia kwa ...(nakihifadhi)

Pasco

Nimelipia kwa makini hili bandiko la tuhuma za mauaji kwa ku fake accidents!, wajameni "karma' is real!, mdomo huumba!. nawaombeni sana wanasiasa na wana jf tuchunge sana kauli zetu!.

Mfano fuatilia hii thread hapa jf
[h=3]Jamaa apata ajali.
[/h]Soma watu walisema nini,
Mdau Mpoki Bukuku wa Mwananchi na The Citizen anatujulisha kwamba Mwandishi wa siku nyingi na mtangazaji ambaye pia ni mjasiliamali amepata ajali mbaya ya pikipiki amepata majereha sehemu mbalimbali za mwili ikiwa namkono ambao umepoteza mawasiliano na sehemu nyingine za mwili.
Kuna watu hapa bodini wana midomo kama manabii.
Nakumbuka haijapita wiki tangu ile thread ya kuhusu kuendesha pikipiki ijadiliwe hapahapa. Na wengi tulipendekeza ile thread ifungwe kwani ilikuwa haina maslahi kwa jamii.
There was mention of someone meeting a biker in one of the threads ..... and some comments were made - similar to what has happened.
Kuna watu wali observe kuwa anaendesha reckless, haujapita muda ajali.

Hivyo "midomo kama manabii".Wameweza kuonya kabla na hatimaye wamekuwa vindicated.

Bikes can get addictive.
Nakumbuka haijapita wiki tangu ile thread ya kuhusu kuendesha pikipiki AINGESOMa asingefika huko kwenye ajali huu ndio umuhimu wa JF FUNDISHA

mungu amponye apo alipo

Pole Bro Pascal, get well soon
nakumbuka siku si nyingi kuna mwanajf aliandika kua mtu huyu (superstar wa bongo pm)anaendesha pikipiki kwa fujo sana huko mitaani na hivyo anaweza kusababisha athari za maisha watu wakamjia juu kua si kweli.............. yamaetokea. ama kweli lisemwalo laja.....loo,

Hivyo wandugu, kauli huumba. Tuwe Makini sana na kauli zetu!. Nilipozungumza na Mtikila kwenye uzi huu, alimzungumzia muuaji fulani anayepanga mauaji kwa ajali, na alimtaja!, kama ni kweli, hiyo 'karma' ya kifo cha Mtikila pia itamkuta!, karma haikwepeki!, lakini kama Mtikila, alimzushia tuu, jambo kubwa kama hili!, then ni kauli ya Mtikila Ndio iliyokiumba kifo chake!.

Tuchunge sana kauli zetu.

Pasco





ikimzungumzia huyu jamaa!, na baada tuu ya wiki, angalia kilichompata!, jamaa huyo huo mkono ni hadi leo!.
 
Back
Top Bottom