Wanachama zaidi ya 1900 CHADEMA wajiunga na CCM

Wanachama zaidi ya 1900 CHADEMA wajiunga na CCM

fuc...ng post hao watu 1900 ndo huyo mwigulu au?jitambue sio unapost ujinga humu
 
Samahani lakini..hv mlikuwa na msanii gani..mondi au kiba maana bila hao hampati watu..halafu mnajiita chama tawala!!! Nyie ni wapinzani banaaa jiandaeni kisaikolojia....Mzee magufuli mnamchosha bure mwambie atulie na aongee vizuri na mh rais lowasa asimsahau hata viti maalum
 
Unajitekenya mwenyenyewe na kucheka,ukawa uko imara,adui mkubwa wa nchi i no fisiem,ndo root cause ya matatizo ya nchi i,lazma ung'oke mwaka u,goli menu LA mkono tutalizibiti kwa kulinda kura, majizi nyie

Achana na slogan na propaganda nawewe, unavyosema Ccm nani alikuwa ccm. Mawaziri wakuu wote ambao ni wasimamizi (executive or administration power) yote katika wizara zote walikuwa wao. Leo unatukana sasa tulaumiwe sisi wananchi au wao kwa tamaa zao za kujilimbikizia mali na leo wanakuja upinzani kubomoa upinzani mnawashabikia. Fikiria kabla ya kusema. # hapa ni kazi tu. Mwambie lowasa achanje mbuga hivyo kuwafuata wananchi kama ataweza. *****.
 

Attachments

  • 1443934982349.jpg
    1443934982349.jpg
    47.8 KB · Views: 229
Hapo ulipo huna kazi unabakia kusema hapa kazi tu, subirini mje mshikishwe ukuta pumbav nyie .. mfungwa

Je kizee chenu kinaweza hayo. ***** # hapa ni kazi tu.
 

Attachments

  • 1443935135779.jpg
    1443935135779.jpg
    24.7 KB · Views: 227
Last edited by a moderator:
Binafsi sina ugomvi na Magufuli. Naamini ni mchapakazi na "udikteta" wake ndo hasa unahitajika katika kipindi hiki tulichonacho. Shida yangu ni CCM na mfumo wake. Je, watamwachia awe huru kabisa afanye anachotaka? Huo ndiyo wasiwasi wangu.​

Taifa linahitaji rais mwenye uwezo wa kukemea maovu.
 
Hahaaa mmewaleta n mafuso kuja kuona wasanii mana jpm kaondoka jukwaani hata kumsindikiza hamna poorccm....wa2 wamebaki wanacheza mziki hahaaaa plus kumleta dewji ila msindai anashinda kwa kishindo mana anawapeleka puta mpka hamjielewi
 
ma beki tatu tutatoa wapi endapo singida inajitambua ?
 
Uo mchezo waktoto wakutoa ela mfuko wakushoto nakuupeleka mfuko wakulia ili ziongezeke, hatudanganyiki ng'oo apa n PIPOOOO
 
wanakata umeme 12/7 halafu mnataka watu wahamie lumumba???? Mwanaharamu hapiti mwaka huu
 
magufuli aitikisa singida mjini

mgombea wa urais kupitia ccm, dr john pombe magufuli amezidi kuiteka singida, maelfu kwa maelfu wamejitokeza katika mikutano yake, na zaidi ya wanachama 1900 wa chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga rasmi na ccm.



mgombea wa urais kupitia ccm dk. John pombe magufuli akiwasili kwenye viwanja vya mikutano vya peoples kuhutubia wakazi wa singida mjini.
mgombea wa urais kupitia ccm dk. John pombe magufuli akihutubia wakazi singida mjini kwenye uwanja wa mikutano wa peoples ambapo aliwaambia wakazi hao kuwa ataibadilisha singida na kuufanya kuwa mji wa biashara, pia aliwaambia vijana wanafunzi wa vyuo kuwa atahakikisha wanapata mikopo kwa wakati, mikopo kwa vijana na wakina mama .
mgombea wa urais kupitia ccm dk. John pombe magufuli akihutubia maelfu ya wakazi wa singida mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za ccm.
mgombea wa urais kwa kupitia ccm dk. John pombe magufuli akitoa salaam za shukrani kwa mbunge wa singida mjini anayemaliza muda wake ndugu mohamed dewji (kushoto) na mkuu wa mkoa wa singida dokta parseko vicent kone kwenye mkutano wa kampeni za ccm.
mgombea wa urais kupitia ccm dk. John pombe magufuli akimkabidhi mgombea wa ubunge wa jimbo la singida kitabu cha ilani ya uchaguzi ya ccm kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya peoples.
mbunge wa viti maalum mtarajiwa aysha-rose matembe akiwasalimu wakazi wa singida mjini waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za ccm.
kutoka kulia ni mgombea ubunge wa jimbo la iramba mwigulu nchemba akipiga push ups pamoja na mgombea ubunge wa jimbo la singida mjini ndugu mussa sima (katikati) na mgombea wa ubunge wa jimbo la singida kaskazini lazaro nyalandu.
wakazi wa singida mjini wakifuatilia mkutano wa kampeni wa mgombea wa urais kupitia ccm dk. John pombe magufuli.
mwenyekiti wa uwt mkoa wa singida diana chilolo akihutubia wakazi wa singida mjini waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea wa urais kupitia ccm dk. John pombe magufuli.
mgombea ubunge wa jimbo la iramba mwigulu nchemba akihutubia wakazi wa singida mjini waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza mgombea wa urais kupitia ccm dk. John pombe magufuli.
mgombea ubunge wa jimbo la bumbuli ndugu january makamba akihutubia wakazi wa singida mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za mgombea wa urais kupitia ccm dk. John pombe magufuli.
mgombea ubunge wa jimbo la singida kaskazini ndugu lazaro nyalandu akihutubia wakazi wa singida mjini kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea wa urais kupitia ccm dk. John pombe magufuli.
mbunge wa jimbo la singida mjini anayemaliza muda wake ndugu mohamed dewji akihutubia wakazi wa singida mjini kwenye mkutano wa kampeni za mgombea wa urais kupitia ccm dk. John pombe magufuli.
umati wa wakazi wa singida mjini waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za mgombea wa urais kupitia ccm dk. John pombe magufuli
msafara wa mgombea wa urais kupitia ccm dk. John pombe magufuli ukiwasili kata ya sepuka .
mwigulu nchemba akimkaribisha mgombea wa urais kupitia ccm dk. John pombe magufuli alipowasili sepuka.
wakazi wa sepuka wakishangilia ujio wa mgombea wa urais kupitia ccm dk. John pombe magufuli.
mgombea ubunge wa jimbo la iramba mhe. Mwigulu nchemba akizungumza na mgombea wa urais kupitia ccm dk. John pombe magufuli kabla ya kuhutubia wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye viwanja vya shule ya msingi kiomboi bomani.
mgombea ubunge wa jimbo la iramba mhe. Mwigulu nchemba akihutubia kwenye mkutano wa kampeni za ccm uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi kiomboi bomani.
mgombea wa urais kupitia ccm dk. John pombe magufuli akihutubia wakazi wa shule ya msingi kiomboi bomani.
wakazi wa kiomboi wakimsikiliza mgombea wa urais kupitia ccm dk. John pombe magufuli.
mgombea wa urais kupitia ccm dk. John pombe magufuli akiondoka eneo la mto ndulumo baada ya kukagua daraja ambalo kwa sasa halitumiki baada ya kuathirika na mafuriko ambapo aliwaahidi wananchi wa kijiji cha msingi kidi kuwa daraja hilo litatengenezwa mapema
hao. Wanachama walio hama. Wako wapi?? Ukionyesha weka na wale wa rumumba sawa mkuu ili tupige mahesabu ya kuju,lisha na kutoa
 
Sijaona picha za mafuso ilyosomba watu kutka maeneo ya kidaraafa ,mwanga,iguguno nk.
 
Safi sana kwa kukubali mabadiliko ya ukweli kutoka kwa Magufuli.
 
Mwaka wa kuwa bw-e-g-e- huu! Mtu mzima na akili zako unaambiwa upige pushups unakubali. Tumelelewa tukijua kuwa pushup ni adhabu, leo jamaa anakuadhibu unakubali ati kwa kuwa unaomba uchaguliwe kuwa kiongozi. Labda mniambie ni kigezo mojawapo katika chama ili uweze kuchaguliwa.
 
Back
Top Bottom